@mwenye.nchi: "Mtu atakayeua nafsi moja = mtu aliyeua watu wote." Muuaji ni muuaji

MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: AL
Thursday 29 October 2026 18:52:24 GMT
54570
4511
404
210

Music

Download

Comments

taighty0
user9283795763304 :
huyu ndio muislam wa kweli mungu amuhifadhi inshaalah
2026-10-29 19:57:54
302
b.z.r.by.used.tyre
B Z R [by USED TYRES] :
Sheikh wa kwanza TZNIA kusema ukweli
2026-10-29 20:24:59
145
j.mandege.tz
JAMAL MANDEGE :
sheikh usalma wako ni mdogo aseee
2026-10-29 19:04:48
110
finestmzinza
finestmzinza :
huyu alifaa kuwa hata muft wa tz sio kwa ubaya lkn ni mawazo yng tu
2026-10-30 07:04:00
45
user6007258353074
user6007258353074 :
Allah amuhifadhi shehe wetu Kwa kusema ukweli mtupu
2026-10-29 22:59:52
46
user1383499077744
Shania :
SheIkh Mungu akujalie maisha marefu
2026-10-29 19:55:51
66
salome.laban
salome laban :
kumbe kuna waislam wengine wana akili timamu
2026-10-30 04:02:33
23
user6714113783611
haruna :
duh shekh kaamua kujilipua kweli [Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-30 12:39:50
1
rashidi.salim
Jamal kajia :
sheikh wa kwanza kuwa mkweli ni huyu hapa🫱🫱🫱
2026-10-30 07:20:30
23
kabon349
kabon3 :
manshallah manshallah sheikh
2026-10-30 08:32:49
0
tricejully
trice July :
sheikh bila njaa wala malipo mungu akubariki
2026-10-30 04:19:11
42
josejohn541
josejohn541 :
kama mauaji yalipangwa, vp kuhusu maandamano hayakupangwa?
2026-10-29 22:03:49
7
iddyhamis15
iddy :
umeongea kila kitu ambacho kipo moyon mwangu kbs na ambacho niliona fact sn hakika
2026-10-29 21:03:29
35
cousin_wa_kenya
COUSIN_WA KENYA :
definition of islamic🥰🥰
2026-10-30 07:31:34
1
user6371730485655
True Faith :
logic question
2026-10-30 05:57:12
0
michaelchristoph851
Jewish Tz🇹🇿🇮🇱 :
God bless u,
2026-10-30 07:19:22
0
samuelsoswa
soswa :
shekhe naomba umsaidie mwaipopo ili aje aione pepo
2026-10-30 06:29:32
5
malley2jr
malley pgm :
huyu ndie muislamu safi mungu akuweke miaka mingi
2026-10-30 03:20:24
25
unitedforever205
UNITED WAYS :
shekh mwenye akili tangu nimezaliwa
2026-10-30 03:50:23
15
geee682
Geee628 :
umeongea ukwel baba Mungu akupe maisha marefu
2026-10-30 06:39:56
5
donnyshuka4
donnyshuka4 :
siku zote maji hujitenga na mafuta!!!
2026-10-29 19:38:50
18
.binaam
Binaam😎 :
Maalimu mungu akuondoe nafsi ya unafki na uwendelee kuwa mkwer daimaa
2026-10-30 05:05:18
5
asili_yangu
MDUMULIYINYI® :
2026-10-29 21:54:44
5
josejohn541
josejohn541 :
serikali ya awamu ya tano ilizuia mikutano ya vyama vya siasa, maandamano na wala hakuna mtu aliongelea hilo na vp kuhusu kile kilichotokea zanzibar kipindi cha mkapa?
2026-10-30 12:39:27
0
jumakapilima
Jimmy :
kule jela kuna masheikh wengi Tu wamefungwa Kwa kesi za ugaidi je umewahi kuwatetea?
2026-10-30 02:14:21
3
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About