@zeemedia_tz: Sasa hii nyimbo ins ubaya gani mpaka marioo kaikataa!! #marioo #ibraah

Zee Media Tz
Zee Media Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 19:14:19 GMT
115292
10128
369
68

Music

Download

Comments

user6351620335161
user6351620335161 :
mbaya ndiyo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-30 13:58:54
0
mr.nova67
Nana Oisso✨💫💦🥳 :
Simpendiii marioooo😒😩
2026-10-30 08:10:20
72
kollygantizo
kollygan tizzow :
mbaya kwll.ata me ningekua marioo ningekataa
2026-10-30 07:41:07
19
nauwalytz
💞 Nally- Q🧸 :
na msisahau pia jux hazungumzi na marioo
2026-10-30 06:29:30
136
belton_official
Belton :
kawaida marioo Huwa anakimbia ngoma akiona umsanii ameandika verse kali....Ibraah anatisha bana💪💪
2026-10-29 22:06:18
375
ceciliakalinga0
rolyx :
kaona utampita ndo maana kasema mbaya, ila anyway achana nae move on bro BIG UP 🔥❤️
2026-10-30 12:37:30
0
khan_macode
KHAN MACODE :
marioo alikua kala vitu nini
2026-10-30 13:05:39
0
allyyunus380
mr yunus :
alikosa mashairi ya kuweka ndo akasema nyimbo mbaya
2026-10-30 05:07:47
57
officialmimah098
@official mimmah🥰 :
Aweeeeeeee moto banaa
2026-10-30 12:26:13
0
ukhtynaah07
Nancy ♌️🎀🧸 :
Ndomn simpendag tu marioo 😫🙌
2026-10-30 01:00:25
33
perpetuasilius
Soulfully_pepe :
Akat ndo my favourite song🤣
2026-10-30 13:07:19
0
pwezzablackorgnl
pwezza black :
washamba wengi kaka uki angalia kwa undani utagundua kuwa kuna watu wana roho mbaya haswa wakitoboa ila yote maisha tu kiukweli mtu uki ongea ukweli wale wanao kuchukia lazima wata umia tu ila kaka ibraah anajua sana b1 50 sina pingamizi nayo
2026-10-29 21:23:56
41
08wenaman_chidde
Ch!dde_wenaman✨🤍 :
Sitaki kuamini @MARIOO anaroho hiyo 🥹🥹🙌🏾🙌🏾
2026-10-29 23:29:15
38
rynisher
rynisher🔐🦋🦋🦋 :
Tatzo marioo anaogopa kufunikwa na msisahau na mbosso nae haziivii
2026-10-30 10:43:47
22
kaliiofficial1
KALII💫✨ :
ukitoa hii zilizobak ndo mbaya kasema🔥
2026-10-29 21:52:38
59
al_watan07
al_watan07 :
Talented
2026-10-30 11:58:28
0
harmienah
emy🥀🌹 :
nyimbo yang pendwa iyo kal san
2026-10-30 05:23:05
23
mgunda70
kriss melody :
chukitu za wasanii ila ibra anajua
2026-10-29 21:09:54
22
omy____boy254
Omy :
Marioo kama yeye mkali ajitoe live band tumsikie sauti yake😁
2026-10-30 10:25:06
5
brighttadei885
Bright Tadei :
Yeye Marioo alitaka uimbaje badala ya hivyo !?😳😳
2026-10-29 21:46:13
27
farib29
farid😘 :
nyimbooo nzuriii🥰 mbona.jaman
2026-10-30 05:26:56
5
user6880353095569
Kebo mode :
marioo kaogopa moto
2026-10-30 03:43:59
8
rara.bee7
rara bee :
Wivu utawaua wasanii wa bongo
2026-10-30 02:47:32
7
conteh1111
conteh :
hii sio nyimbo tu ni hisia za mtu
2026-10-30 04:13:10
5
geewillies_yay
geewillies_yay :
Angekuharibia nyimbo tu bora ulivyoimba mwenyewe
2026-10-30 03:18:10
14
To see more videos from user @zeemedia_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About