@mustafara3:

mustafara
mustafara
Open In TikTok:
Region: AE
Thursday 29 October 2026 19:17:39 GMT
19250
865
63
86

Music

Download

Comments

samiriabdallah653
munira peter :
mungu atusaidie turud makwetu salama
2026-10-29 19:46:19
16
onlyo614
maryam :
yaan huongei haraka mpk nachoka mm
2026-10-30 02:33:40
1
zodwa2763
zodwa❤️ :
arudi aje Qatar kazi moja tu sio kama huko Kila kitu Mt mmoja.
2026-10-29 20:14:27
7
faipeti
faipeti :
eheee mungu naomba umuokoe mja wako katika hili gumu lililomkuta
2026-10-29 19:54:03
9
ukhutydali
اختي دليلة :
alihamdulillah nmekua nikimuombea san nitazid kumuombea awez kumaliz deni arud 🇹🇿 Tanzania
2026-10-29 19:55:07
4
user69798774037497
khadija mchoropa :
jamani nduguzetu bado mnataka kwenda uko kweli
2026-10-29 21:02:59
1
user7339126657010
Nasmira :
Alhamdulinlah shukran yaarabi 🙏🙏ALLAH AKBAR
2026-10-30 02:08:35
1
mumuhassan1
rajmu :
watu Wana roho mbaya
2026-10-30 03:24:37
0
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
nashukulu san amina kuwa huru ila akilud tz bado kuna nchi nyingi
2026-10-29 20:37:06
1
user8082708468506
maryam :
duh maskin pengine aliwapiga kwa upendo
2026-10-29 21:18:29
2
neemamfikwa419
The Misslady 🫶 :
Kupekua simu sio kosa?
2026-10-29 19:40:12
1
briannanbrille16
Brianna🫶🫦 :
Tujulishwe ni bei gan
2026-10-29 21:39:47
1
kashikas13
⚡NEY❤️ :
em ongea haraka mpaka bana
2026-10-30 02:54:11
0
aminabakari999
ummuh Rayaz :
Hasbunallah waneemal wakil
2026-10-29 20:24:37
0
khairiya169
أم سحيم :
yaa Allah mufanyie wepesi muja wako
2026-10-29 21:30:55
1
tausimalilo0
tausimalilo :
husbnallahu waneema wakilly.mungu msimamie arudi salama
2026-10-29 20:57:49
1
angrybird9246
Mwaj..🇹🇿🇶🇦🫶 :
kuingia Omani siyo shida aje Qatar
2026-10-29 19:31:20
0
khairiya169
أم سحيم :
alhamdulillah
2026-10-29 21:27:04
1
rahmamuba
rahmamuba :
Yote ayoo mungu ndio anae juwa Rudi dd na pole sana,
2026-10-30 01:43:37
0
nasma.issa95
Nasma issa :
Hata asiporudi tena sawa
2026-10-30 03:23:16
0
zenakomba1gmail.c
mama p :
mungu ampe ujasir bint yetu🤲Tanzania tunakuombea. akamlinde Zaid huko aliko na chngamoto anazoptia.
2026-10-30 03:26:07
0
mwanalcldse
mama :
Allah atakulipa mwanangu amina hakuna zaidi ya allah
2026-10-30 03:00:33
0
zamri35
Zamri :
kulipa fine ni kanuni ya nchi kama anaye shitaki ana haki ya kuomba chochote kile anachotaka
2026-10-30 01:56:43
0
zahiyatyazizgmail.com
dhiyuni [email protected] :
inaumiza jamani da😳😳 mungu ni mwema haki
2026-10-30 01:55:44
0
ashiru2502
Ashiruna 002 :
ila waarabu sio mchezo!
2026-10-29 19:56:38
0
To see more videos from user @mustafara3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About