daaaah, nilikuwa siamin mpaka sasa nimeami inauma sana😂😂😂😂😂😂.
2026-10-30 05:40:02
38
Yotham Zabron :
polen san jamn
2026-11-05 09:10:43
0
j voice :
polen sana mkoa wilaya gani
2026-10-30 16:20:16
13
isa joshua :
22.05.2002
mimi 21.05.2002. duuuh😭😭😭
2026-10-30 13:30:57
16
mama doubleF :
jaman.. bodaboda..😭😭😭kuna muda najiulizaga hzi boda boda wanapoztengeneza uwaga wananenea nn? mahan vijana wadogo sana wanakufa kwa ajar ya boda.. miguu kukatika mikono na ulemavu wa kudum...Mungu awakumbuke waendesha boda boda wote. ..awalinde.. waliotangulia Mungu awape pumzko la milele