@dairan.vonga: Mafuliko ya mwanza zaidii ya nepali #mwanza #dvonga #mvua #tanzaniatiktok #mvua

DVONGA
DVONGA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 20:27:14 GMT
160739
4387
132
197

Music

Download

Comments

faustinaboniface1
Faustina Boniface :
Uongo huo mwanza hIjawah kunyesha mvua kubwa
2026-10-30 06:06:36
13
miller2415_
The Dreamz :
Ni mabatini? sehem hiyo mvua ziko nyeesha hapa pitiki
2026-10-30 10:13:32
3
rashidhamiss807
memes😎 :
uwongoo huwo mnatutishia sisi tuliko dar😂😂😂
2026-11-02 21:27:45
1
mbozione
Mbozione Mase :
tuna billion 750 Kwa ajili ya maafa kwahiyo msijari
2026-11-03 15:20:31
1
kalaleko1
kalaleko :
labda mhgungumarwa so mwanza nayiofahamu mm
2026-10-30 07:47:11
0
jeyh123
lavie :
hii ndio mvua ,mvua ya baraka ,simlikuwa mnawalalamikia TMA Pambana🤣
2026-10-30 15:17:25
1
petermakowe566
Peter Makowe :
uongo haisaidii,hiyo ni Mwanza ya wapi
2026-10-30 16:56:53
0
santossjunio
belong2God :
iyo vidio xiyo ya leo
2026-10-30 16:24:34
4
calvinelisha05
Calvin Elisha :
Mvua za miaka iliyopita
2026-10-30 12:43:45
1
user6000167668441
R cute💞💞💞 :
kumb Kuna watu hawaamin kuwa mwanza food haijawah tokea duuuh polen San hii ni kwel so ai wapendwa but ni mda si Leo
2026-10-30 09:47:50
2
amosevodia
amosevodia :
mmmh nyie mtukome mwanza gani hiyo
2026-10-30 07:53:37
2
mamyadriella
Queen Lilian :
muombeni mungu sana
2026-10-31 12:58:05
1
julianamnale
I HAVE FOUND A FRIEND IN JEUS :
picha za zamani, acheni.
2026-10-31 07:27:12
1
saidkahabi
Said Kahabi :
sasa mbona kawaida tuu miaka yote maji sihuwa ivyo tuu ivi mnajua maana ya mvua kubwa
2026-10-30 16:33:44
1
damasmoris
damasmoris :
sio kweli na ss tuko mwanza
2026-10-30 08:24:34
1
cresporh
Cresporh :
huku kwetu ije ibebe bank nikimbilie pesa zote
2026-10-30 16:15:00
1
regnaphina
phinas11 :
mnaleta taharuki kwa watu hayo maeneo maji hayajawahi kukauka huwa yanatirika kila siku na ni njia ya maji
2026-10-31 03:15:15
1
agnessnkugwe
Agness Nkugwe :
Lini? Leo nimetoka Bugando mbona sijaona maji ya hv mjini?🤣🤣
2026-10-30 16:23:42
1
saphia_chacha
Saphia_chacha :
waongo watu tunatamani mvua
2026-11-01 14:56:32
0
wilsonbaricky
Wilson Baricky :
haujakosea kimewaka jua🤣
2026-11-02 16:06:55
0
mpemba.wise78
happy zakaria :
acheni uongo mwanza amna mambo hayo
2026-11-02 17:32:36
0
emanuelsamwel45
Ematheyboy :
Ni mwanza kwel Ila ni mda mrefu ilitokea Mbona minaofisi mitaa hiyo na hakuna mvua 🙄
2026-11-03 21:27:48
0
sabrinabajwa569
Sabra :
Uongo huo 😃😄 hio mwanza ipi
2026-11-03 05:59:20
0
muddymaingo
muddy maingo :
mto mirongo
2026-11-02 20:13:18
0
user5326002769319
user5326002769319 :
linihiyo acheni ongo jamani
2026-10-30 05:55:34
0
To see more videos from user @dairan.vonga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About