@mamlinchotz: HABARI YA KUSHTUA YADAI MWANAUME ALIFARIKI BAADA ya TUKIO LA KUJICHUA MPKA KUFARIKI Makala ya ajabu ilisambaa mtandaoni ikidai kuwa mwanaume wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 33, anayeitwa David Mabuza, alifarikI kufuatia tukio la kipekee lililodaiwa kutokea chumbani kwake. Habari hiyo ilidai kuwa mama yake alimkuta akiwa amelala baada ya kushindwa kutoka nje kwa ajili ya chakula cha mchana, jambo lililomfanya awasiliane na polisi. Na baada ya polisi kufika wakakuta kijana huyo amesha fariki.Wakachukua mwili na kumpeleka hospital kwa uchunguzi na madaktari wakathibitisha kuwa kijana alifarikI BAADA ya mshtuko WA moyo uliosababishwa na msukumo WA damu ulio sababishwa na kujichua mara nyingi Kwa WAKATI mmoja