@tituswvann:

Titus  vann
Titus vann
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 29 October 2026 21:21:48 GMT
139876
4246
74
133

Music

Download

Comments

user6812696028130
gloria lulo :
Asante
2026-10-31 04:23:50
0
maryamali22087
maryamali22087 :
mm. nimepata nimechwa. na. mumewng akaniletea. makaratasi na. hela za nchi nyengine. hii inamaanisha. nn
2026-10-30 06:10:10
2
zainash.254
ZAINASH254 :
hapo kwa shule niuongo nikirudi nyumba kimaisha ndugu
2026-10-30 19:54:52
0
othmansayii
othmansayii :
iko vizuri sana
2026-10-31 09:42:43
0
user6658196886137
Maggie💞💯 :
mm mara kwa mara naota nipo shule ya msingi wakati mwingine secondary
2026-10-30 07:07:42
2
wittyamosi
wittyamosi :
mi kila sehem ninayo enda inakuwa kama nilishawahg kufika kabra iwe mkoani au kuna mambo yanaweza tokea kama nilisha wahi kuona kabra
2026-10-30 06:18:00
3
001walterliz
🕊️Ñīght ñúrßë💦 :
naota Niko shule na Nina mimba
2026-10-30 15:17:29
0
sumaiyah7083
sumaiyah :
mim naot nafany mitihan shulen
2026-10-30 21:04:16
1
halimazakaria22
Halimaaaa +254 😘💞💞 :
Mm naota naokota dhahabu kila siku 🤔🤔🤔🤔🤔🤔 hii yngu inamaanisha nn
2026-10-30 13:33:40
0
richard.wanjala45
Richard ushuda :
hizi tafsiri zote ni kuongo
2026-10-31 06:16:05
0
mama.huuu5
mama huuu :
Naota baharini hii ndoto inajirejea rejea rejea sana
2026-10-31 05:03:08
0
alicia.furgence
Alicia Furgence :
mi naota naendesha gari
2026-10-31 08:14:18
0
baudouin981
Baudouin🇨🇩🇨🇩🙏🙏 :
mimi nime ota Léo 29 niki tambuka bahari kwa kogerea. maana yake nini.
2026-10-30 07:41:53
1
ayshuu254
Ashhhh💕💕💕 :
apo kwa shule mm Kila siku
2026-10-31 07:52:01
0
dorisi378
Dorisi178 :
Ukiota unaona watu wanacheka maana yake ni ipi
2026-10-30 06:08:35
0
user70328060609937
Hiram focc i :
mimi niliota nikiuwa watu wengi but sikuelewa meaning yake plz nisaidie nijue
2026-10-31 01:21:34
0
esthermutheu455
MUTHEU❤️🤍🌹 :
niliota nikiwa nimeoleka tena na mimba na tunaishi shuleni na huyo mwanaume
2026-10-30 20:53:49
0
be_credy
be_credy :
kuota unatembeza gari inamaanisha nini??
2026-10-30 03:31:40
0
rachel90..sa
Rachel sagesse :
mimi nime ota Niko baharini chini kabisa Niki mtafutia maman na bibi samaki sielewi maaana
2026-10-30 19:55:35
0
nashal96
🎀Ronah🎀 :
mm nimeota mtoto wangu amezama Kwa mto wenye maji mengi safi kabisaa lakini akaokolewa na mama mmoja
2026-10-30 18:44:58
0
natha4093
Natha :
nmeota nimeludiana na mpenz wangu
2026-10-31 06:59:51
0
masikalove4
masikalove4 :
nime lota niko shuleni
2026-10-30 20:28:59
0
muaraboimamo
G Mua pro MP4 :
2ª parte
2026-10-30 19:29:38
0
sheaida.sadick
sheaida sadick :
mim juz nimeota nimebeba jeneza
2026-10-30 19:39:22
0
maryamali22087
maryamali22087 :
na. hua. naota ninagombana. na. mke mwezangu
2026-10-30 06:38:13
0
To see more videos from user @tituswvann, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About