@megamedia_21: MKUU WA MKOA WA MOROGORO QUEEN SENDIGA AINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI LUKONDE ​Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Queen Sendiga, amefanya ziara na kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Lukonde kilichopo Kata ya Tomondo, kwa ajili ya kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kati yao na mwekezaji Profesa Shem, lengo likiwa kurejesha utulivu wa kudumu. ​Katika kikao hicho, Mkuu wa Mkoa ametoa maagizo mazito ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa mtu yeyote atakayekiuka maagizo ya Serikali. Pia, amewahakikishia usalama viongozi wa kijiji hicho, akiwemo Mwenyekiti Ismail Mkimbu, dhidi ya vitisho vyovyote kutokana na msimamo wao wa kusimamia sheria na kulinda maelekezo ya Serikali. ​Aidha, RC Sendiga ameagiza kuitishwa mara moja kwa mkutano utakaowahusisha wananchi na Maafisa Ardhi ili kugawanya eneo la ekari 500 lililotengwa kwa ajili ya wananchi kwa kuzingatia matumizi bora ya ardhi. Amesisitiza kuwa Serikali haitavumilia uvunjifu wa sheria, uharibifu wa mali, au kutoheshimu maamuzi halali ya Mahakama na maelekezo ya Serikali. ​Habari na Video kupitia: Akaunti ya Instagram ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga (@queen__sendiga). ​#Morogoro #KutatuaMimiGoroYaArdhi #QueenSendiga

MEGA MEDIATZ🇹🇿
MEGA MEDIATZ🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 21:46:48 GMT
137192
6591
185
248

Music

Download

Comments

omaryadamu562
Omary Adamu :
morogoro mkoa mgumu sana kuuongoza
2026-10-30 03:43:56
54
jmarick5
jmarick5 :
mngekuwa mnakamata na mafisadi hivi , tungefika mbali sana
2026-10-30 05:59:22
31
promised_bourgeoisie7
promised_bourgeoisie7 :
leader by Born
2026-10-30 13:03:35
0
amfley_mumy
amfley_mumy :
saf mama fanya kazi moro inashida watu wanajifanya wababe san
2026-10-30 04:51:39
12
kebabs_00
kebabs :
Huu ni upuuzi cyo uongozi
2026-10-30 05:55:02
7
user087757831
Adam Adam :
hii wap na walifanya nini
2026-10-30 03:07:44
5
bsmoke566
Babangida Jr :
Katik katiba mpya umiliki wa ardhi urudishwe kwa wananchi na sio ubaki kwa mtu mmoja
2026-10-30 03:28:09
5
salim.salim.muham8
Salim Salim Muhammed :
well done yani dada ingependeza ungekuja na zanzibar wallah thumma wallah ningefurahi sana
2026-10-30 02:38:25
10
remista.woiso
Remista Woiso :
huyu mama napenda sana anafanya kazi vizuri
2026-10-30 04:33:50
15
happinessnyambita
Happiness Nyambita :
wap uko?
2026-10-30 00:41:42
1
abdu.ismail4
abdu ismail :
Safi sana kiongozi wangu mama angu sendiga
2026-10-30 04:56:48
6
rosekizo
rosekizo :
Mimi sijui wamefanyaje, ila nakupenda sana RC
2026-10-30 04:27:40
4
sefaniambilinyi
zephania mbilinyi :
IPTL WANGEKAMATWA IVI
2026-10-30 07:28:07
2
user433943233
John Z :
Na nyie serikali punguzeni kuwekeza maeneo kwa wageni bila wenyeji kushilikishwa
2026-10-30 07:10:00
4
fadhil.platnumz.h
Fadhli platnumz :
saafi sana mkuu wetu upo vizuri sana Nakurispect bina unafaa sana safisha Mkuu👍
2026-10-30 11:54:03
2
helen23340
Helen23 :
Mama tunaomba utufanyie wepesi kuna foleni masika mida ya jioni tunachelewa nyumbani na iyo ni baada ya bajaji kutokufika mjini na kutumia njia moja ambapo uwingi wa bajaji ni mkubwa na njia ni ndogo ata pa kupakia ni padogo hii inapelekea mtu unakuta unatazama miguu usikanyagwe na bajaji ebu liangalie ilo mweshimiwa tupate unafuu maana awa vijana wa bajaji ni ajira wengi wametoka kubaya na kuacha ata wizi kupitia ajira hizi
2026-10-30 08:32:49
2
wahubani
WAHUBANI :
Njoo na mkoa wa lindi😅😅😅
2026-10-30 03:33:23
3
user79050056083681
shija luchagula machiya :
hakuna kiogoz hapo
2026-10-30 09:47:51
1
hemed.rashid79
Hemed Rashid :
hakikaa nchii sio mali ya wahuni pigaa kazii nchi ni mali yetu woteee😅😅
2026-10-30 08:56:47
1
anuuzouzou
Anuu~zouzou :
mhe unafanya kazi vizuri mhe raisi akuameshie singida watu WA alizi wanazulumu san maaeneo ya watu itigi
2026-10-30 03:11:44
3
rabia.hassan345
TEAPOT BITES & MORE :
dada queen za masiku Kimberly sasa upo morogoro nakukubali sana Nikita nitakutafuta
2026-10-30 04:08:01
3
user433608236
Golden Boy :
safi sana.. na Tunaomba nenda na Mbingu....!! matatizo mengi sana
2026-10-30 03:32:09
2
issa.pweza
issapweza :
wewe dada ndo ulikua unatakiwa uwe rais
2026-10-30 08:18:45
1
user4906031428115
veronica :
jamani tumekumix huku manyara
2026-10-30 05:30:43
1
irigojuma1
don't mind 🤫🤫 :
😅😅 mkuu mm nimeaka leo nimejiamulia tuu kugomban na x
2026-10-30 06:12:40
1
To see more videos from user @megamedia_21, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About