@mathias.canal: Tazama namna Mkoa wa Dodoma ulivyopokea siku ya uzinduzi wa majengo ya ofisi za wizara na taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma. Fataki zimemulika anga la Mji wa Serikali usiku wa kuamkia leo, Oktoba 30, 2026, katika shamrashamra za kuelekea hafla hii adhimu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiambatana na watendaji wa Serikali, ameshuhudia fataki hizo katika Mji wa Serikali Mtumba.
Mathias Canal
Region: TZ
Thursday 29 October 2026 22:14:22 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mathias.canal, please go to the Tikwm
homepage.