@janaina_brown:

Janainabrown🦋
Janainabrown🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 00:17:16 GMT
80533
3794
76
209

Music

Download

Comments

stey5757
Stey luxury hair💫💯 :
kuchagua kwangu ndo kunaniangusha kumbe
2026-10-30 10:35:05
19
shahidimedia
jenitha cute :
Kwan wanaume mnawapataga wap
2026-10-30 05:42:42
22
nasraomary639
Nasraomary :
Hongera zake
2026-10-30 11:02:24
0
zeenat05262
zeenat🦋 :
Kwan huyo bwana ni mtanzania😁
2026-10-30 03:08:02
19
its_sweetsmile
🦋✨ 𝓢𝔀𝓮𝓮𝓽 𝓢𝓶𝓲𝓵𝓮 ✨🦋 :
wamejificha wap km awa jomn😂
2026-10-31 06:03:24
0
cutesikaa
cutesikaa :
Sasa mm nacheka nn😅😅
2026-10-30 07:57:52
3
juzc00
Dada rasta 🛫💪 :
mungu nipe kama huyu
2026-10-30 09:33:22
2
roseprojest885
Rose eyes🥰 :
nilitaka kushangaa nifa akubal kuolewa haraka kipo kitu sasa je shemej mitano tena🤣☺️
2026-10-30 01:44:42
13
mage2792
mage :
Shida yetu sisi tunachangua sana walh
2026-10-30 10:37:59
2
user4292458581876
jackline :
kuna sisi ambao tupo kwa kufurahiy ya mwezio to
2026-10-30 04:34:05
11
teddycollection6
Smart girl ♥️ :
🙌🙌😂😂😂achen tamaa jmn
2026-10-31 06:12:01
1
johary555
johary Siso :
ahahhaah kidogo nisemehe kitu nikakumbuka izo hela waenda kutumia wote😂😂
2026-10-30 21:21:46
0
najtara
Naj🌸Tara💦🩷👣 :
Mungu wangu kama mimi ni samaki nirudishe baharini
2026-10-30 15:45:14
3
listah68
Kalister :
Acha nikafanye biashara mtwara
2026-10-30 17:36:13
0
twinie280
000160 :
kaka yetu katuwakilisha wana kusini 🥰🥰🥰
2026-10-30 12:25:16
0
officialquez17
@Officialquez🤎 :
Ni million 10 buana na iphone 18
2026-10-30 15:34:08
0
zuhura.hassani6
zuhura hassani :
nafurah kwa mahusiano ya wengine 😂😂😂😂
2026-10-30 08:30:01
1
ney.balyanengo
Ney Balyanengo :
huyu alikuwa wapi
2026-10-30 08:42:17
1
palacefashion1tz
Palace-fashion :
mungu napokea hz baraka
2026-10-30 05:51:21
6
catherinejohn536
Ketty🦚 :
Kwan wanaume Huwa wapo wap wakuoa na mm niende😭
2026-10-30 09:33:51
0
user4728518056905
user4728518056905 :
usikute n movie
2026-10-30 10:42:47
0
mymom40f
💞💞💞 :
mashallah
2026-10-30 15:48:29
0
devotha.elias5
Dee🌹🌺 :
oh hawa huwa wapo mkoa gan jaman
2026-10-30 10:39:11
0
ms.ab52
ms abe :
mh
2026-10-30 09:51:00
0
christinakauga
ms -tee 🦀 :
kama nawaona watu leo walivyo busy na snapchat 😃😃😃😃
2026-10-30 21:33:22
0
To see more videos from user @janaina_brown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About