@hmahalu:

MamaTJ
MamaTJ
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 01:59:58 GMT
105670
3538
319
230

Music

Download

Comments

masignalog
GYUZZLE VAX 🇹🇿 :
Jesus died of our ancestors not us
2026-10-30 21:20:59
0
swaumomary6
swaum :
Maisha yanatoka wap bwana km nilikua sijazliwa nilikua sijui kitu atanikifaa sitajua chochote tunazikwa aridhini mbinguni tutapelekwa na winchi au
2026-10-30 06:36:59
81
khadijah.unfiltered
khadijah.unfiltered :
Mimi kama overthinker😅
2026-10-30 09:04:22
43
ludovik.assenga
Ludovik Assenga :
Kama mangu aliamua niwepo alafu baadae akanichome sibora angeacha kuniumba
2026-10-30 08:50:48
39
lizzyemmy83
emmylizzy :
mimi dini siamini kiukweli ila mungu naamini yupo
2026-10-30 07:32:34
20
_marrysimba1
_marrysimba :
Dini Imeleta Hofu Nyingi Kwa watu Dini Ni kivuli cha Kutishia Watu Wawewaoga Dini Leo Hii Kwenye Dini Tunatishiana Mambo Ya Hivyo Sana Leo watu wanasali Si kwasababu Wanataka Ila Kwa sababu Wanatishiwa Mtu Anasema Ukifa Huendi Mbinguni ukifa Utachomwa Mtu Anamuogopa Mungu Kuliko Kumpenda😂🫴
2026-10-30 07:51:49
14
shaniy.nails
shaniy nails 💅💅 :
mungu yupo ila huwezi kumuaminisha yeyote kulingana na uelewa wake 🙌🙌
2026-10-30 08:29:37
10
geofreymaneno0
G :
mkishakubaliana wote mkawa na mtazamo mmoja hakuna mwenye kipingamizi wala duku duku lolote ndio itakuwa siku ya mwisho wa dunia
2026-10-30 05:37:24
10
mr_story72
MR_STORY :
of coz mm ndiyo Mungu mwenyew
2026-10-30 07:56:33
6
user77383673
Umu🥰 :
Hakika sisi binadamu ni madhalili mbele ya Mola wetu🥺 Eh Mola wetu mlezi tusamehe sisi viumbe vyako🥺
2026-10-30 09:14:38
8
triple.j488
triple j :
mi huwa najionya mwenyewe niamin mungu yupo na hukumu IPO.uwezi ukafanya mauaji,ukatil dhuruma kwa wanyonge alafu mungu kusiwe na adhabu.mungu yupo na atahukumu kwa haki tutubu sana
2026-10-30 08:20:08
7
swahibu.ally3
Swahibu ally :
jamani mungu yupo ukifanya maovu utakutananae tu walasio sikunyingi hakuna kilichojiumba vyote vimeumbwa
2026-10-30 08:09:26
5
cj25__7
CJ :
DINI ndio biashara kubwa na mfumo wa Magereza any way iko hivi mtu mweusi unapochanganya mambo ya Kidini na Kiroho ni sawa na Kuunda Kitu kinachofanana na Wewe unapata udanganyifu ulio juu ya uhalisia Mtu mweusi ndio Mungu mwenyewe Kuna wazee 12 au 24 Kuna Machifu 144 na Waamuzi 1B7M+ so idadi kamili tupo 1B8M Swali utaniuliza Kwanini tunadini tofauti na Kwann Dini zililetwa na Watu Weusi iko hivi mpaka Sasa Manabii walikuja 7 walizaliwa kila Baad ya Miaka 1000 na Walikuwa Wanazaliwa Ktk maeneo ambapo Kuna Ukandamizaji Zaman mji mkubwa ulikuwa Misri ukahamia India Ukaenda America Ukarud Palestina ukawa tena Misri na Sasa upo America so watu weusi manabii walikuwa Wanatokea Kuwafaliji watu weusi wenzao na Kuwafundisha Ustaarabu waty weupe Maan Wao Hawan Kiti cha Maadili kiti cha Enzi namaanisha GEN LINALO UPA mwili Rangi nyeusi Tunaita Etha
2026-10-30 16:40:19
1
izukanji.sinkala1
Izukanji Sinkala :
kwann mungu ni mzungu tuuu vp kuhus sisi waafrica?
2026-10-30 11:58:57
1
mallya.john4
mallya john :
ila watu bad Yani ukiwa na afya njema unapumua vizur tunajisahau san mtu haamin Kam Mungu yupo kazi ipo
2026-10-30 07:52:43
5
abdul156199
Abdulhamed :
na katika ishara za uwepo wa M/Mungu ni kuwepo kwa usiku na mchana ,jua na mwezi, yupo anaevithibiti ambae ni Mungu vyenginevyo ingekua usiku hautaki kuupisha mchana ,au jua lingegoma siku moja lisitoke lakin haiwezekan kwasababu vitu vyote vinaendeshwa na M/Mungu kwa vile atakavyo yeye na kwa mpangalio maalum
2026-10-30 13:12:45
4
masalulwino8
Masalu lwino :
mungu ni nuru na jua ni nuru kwaiyo watu wa kale waliabudu uelekeo wa kuchomoza kwa jua au mbara mwezi hata mm uwa ninaibada zangu za kimila natazama (lyubh'a )
2026-10-30 19:45:01
0
mlimwengu2
domi Mdunia :
2026-10-30 17:43:22
1
nana.semo6
🇭🇹Nana semo👩‍👦 :
Mbona mimi huwa nikimtafakari sana Huyu mungu nachanganyikiwa yaan nikimkarbia tu ananirudisha mwanzo nilipianzia kumfkiria🥺
2026-10-30 11:35:56
1
bonifaceirungu137
bonifaceirungu137 :
mbona hakuna mtu anayeuliza swali Mungu ni nini kwanza? wengine hatujui hii kitu inayoitwa Mungu ni nini haswa
2026-10-30 15:39:59
0
dreamleague2605
plutotx :
kuna mama mjanzito na akiwa na mtoto wa miaka kama minne alidondokewa na mti wakafariki wte watu wakasema ni mipango ya mungu hpo mi ndo nikaanza kufikilia
2026-10-30 19:24:00
2
neymshana3
Jibu underware :
et Kuna MTU anasema what if MUNGU ndo shetani
2026-10-30 11:19:44
0
binti_shedah
binti yake baba :
MUNGU haelezeke Wala hachunguziki
2026-10-30 13:45:34
3
siasa.za.ulimweng
Njoo _tushauriane90 :
Nautaka huu mjadala nakupataje??
2026-10-30 08:36:53
1
ndirangu73
NDIRANGÛ WA MÚCHIRI :
Lakini Yeye kutonibariki na kukubali nihangaike inamfaidi nini kiukweli🤔🤔?
2026-10-30 13:23:45
2
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About