@thatsrobertmalisa: How to send A File With size more than 50Gb To Someone Far Away. Use Filepizza For that . Tumia Filepizza website kuweza kumtumia mtu aliyeko mbali File Kubwa Kutoka kwenye Computer yako kwenda kwenye Computer yake. This is Robert Malisa, Karibu sana #fyp

thatsrobertmalisa
thatsrobertmalisa
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 04:33:20 GMT
10078
404
23
48

Music

Download

Comments

davisngovi
꧁☬ ✨Davi'e 👑⚡☬꧂ :
etyi haitumii clouds, sasa wewe hiyo pizza iko local kwan , ikishakuwa online teyar inatumia clouds coz ipo hosted
2026-10-30 14:30:07
0
rahimabaskiobya
Eng_Kiobya :
software gan ina GB 50?
2026-10-30 08:03:14
1
artist.gaka.boy
🐊SOSI PROD HATARI🔥 :
Si inakula Mb kama kawaida?
2026-10-30 09:14:02
1
arr0w123
Arr0w⚖️ :
upo vizuli fanya video sio maelezi bro 🤣🤣🤣 kaza
2026-10-30 07:12:57
1
mr_catenator
Mr Catenator :
Hata folder lenye docs inatuma? Au movies?
2026-10-30 09:06:50
1
mwita.ms
MaddØx :
tengeza video, jinsi ya kublock watu kweny savannah fibre 😂
2026-10-30 17:37:41
0
clevermaphotos
Clever Maphotos :
EMAIL
2026-10-30 17:44:16
0
emmagmayemba
Emmanuel Mayemba :
nilikuwa sijui
2026-10-30 16:06:57
0
michaelkomba0
michaelkomba656 :
nimependa sana
2026-10-30 14:59:04
0
dkt_amar
VELORA AGENCY :
We transfer ndiyo babalao. unatuma hata file la 100GB,
2026-10-30 09:28:13
2
To see more videos from user @thatsrobertmalisa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About