@veriafya: Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Bruno Sunguya anaeleza kuwa kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha na mazingira ya chakula, vyakula vilivyosindikwa vyenye kiwango kikubwa cha sukari, chumvi, na mafuta vimekuwa vikipatikana kwa urahisi na kwa bei nafuu, jambo linalohatarisha afya ya jamii, hasa watoto na vijana ambapo utafiti wa hivi karibuni uliofanyika nchini umebaini kuwa 82% ya vyakula vinavyouzwa madukani vikiwa vimefungashwa vimesindikwa kupita kiasi. Ili kukabiliana na changamoto hii, serikali inachukua hatua za kisera ikiwemo kuandaa miongozo ya kitaifa ya ulaji unaofaa, kuweka mifumo ya lebo kwenye vyakula, kudhibiti matangazo na uuzaji wa vyakula visivyo na afya mashuleni, pamoja na kuweka kodi kwenye vinywaji vyenye sukari ili kulinda afya za Watanzania.

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 04:36:41 GMT
3499
65
3
14

Music

Download

Comments

mr_aman260
Mr_Aman :
unatoka long?
2026-10-30 20:07:10
0
adiam_collection
❤️ :
pombeeee
2026-10-30 08:07:01
0
mathematics1348emmanuel
Mathematicsinblood :
🥰🥰🥰
2026-10-30 04:47:21
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About