mloe, aloooo kama tuko vatcan city......pamenogaaaaa🤩
2026-10-30 11:55:28
0
William Ombeni :
Sept 29,2017 1:49PM (Mango P/S)
2026-10-30 15:49:01
4
Ronard :
Aiseeh mm nimsoma apo uchau
2026-10-30 19:45:32
0
Mr Delivery Kariakoo🇹🇿 :
Wangap tumesoma shule ya msingi Mango aise
2026-10-30 08:41:30
4
M.S.S :
asee apa ntafunga ndoa yangu siku moja Loud and clear 😂
2026-10-30 18:57:52
1
Happy Mmary@jollity joy@ :
jaman pamependeza sana pamenishawish kuwa mosh (pongezi nying ziende kwa padre Tumain kajitahid sana Mungu ambariki huko alipo akatumike vema kwa mapenz ya Mwenyez Mungu)
2026-10-30 16:29:07
0
Gommy Gommy :
home
2026-10-31 16:12:45
1
sparkling soul.....🎀🎯 :
katekista pius nakumbuka fimbo zako za mafundisho[Tears of joy][Red heart]
2026-10-30 14:00:08
0
Queen💎❤️ :
kitandu home sweet home🥰
2026-10-30 08:21:54
3
Chagga Girl 👧 :
Kitandu unatukumbusha mbali asee
2026-10-30 06:02:21
0
Tuma_raba 38 :
Mango imependeza sana
2026-10-30 09:28:01
0
rola🥰 :
uwiii mango jaman
2026-10-31 09:25:40
1
lucykimaro0 :
kwetu kuzuri bhana
2026-10-30 09:20:03
0
user72613630820325 :
wachaga tunajikubali wenyewe tukovizr kanisa la mango limekuwa lizr jamani
2026-10-30 09:54:58
0
grace_collection :
Jomon kanis la mango limekuw zur
2026-10-30 05:46:59
0
Masere Jacob Mshanga :
Tuliopata komunio kipindi Cha padre chunguria tujuane
2026-10-30 07:34:41
2
mushimartin26gmail.com :
Home kabisa
2026-10-30 10:03:20
1
womenofproverb2001 :
boooo kabisaa 🥰
2026-10-30 09:08:14
1
Beatrice Mallya :
Kanisa letu ni zuri jamanii 🥰 kuliko mengine tunayoyaona uku mikoa mingine
2026-10-30 05:55:44
0
harrymike22 :
hapo mango parishi
2026-10-30 06:05:50
0
kingmfoi :
mkuu songea kwa Rafael tupate kitimoto Leo
2026-10-30 05:13:26
1
Manka Mbuya :
tuliopokea komunio na padre. chunguria tujuane mango parishi.
2026-10-30 08:55:32
1
Sawere Masaki :
mango AI hii nimekulia mango parishi ya kidosho siyo hiyo
2026-10-30 10:39:28
0
To see more videos from user @barackstor, please go to the Tikwm
homepage.