Alikua hajielewi, hayo yoote anayoyasema ndio alikua akifanya hivyo mtume wetu Muhammad swalla llahu aleyhi wasallam
2026-10-31 08:27:02
1
Nuaym.10 :
Mungu amrahamu mpaka alipokufa kunao waliskia Raha kwanza wale wa Tanzania maana alikuwa kiboko Yao
2026-10-30 06:36:36
4
mohamush anuuu :
mtume na maswahaba waliyafanya hayo
2026-10-31 07:29:26
1
Salafy_athary :
MLINGANIZI WA MILANGO YA MOTONI ALIKUWA
2026-10-30 16:02:44
1
simbaabdillah4 :
اللهم ادخله الفردوس برحمتك يا ارحم الراحمين اللهم نور قبره واجعله روضة من رياض الجنة يا كريم اللهم اغفر له ورحمه وعافيه وعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله وغسله بالماء والثلج ولبرد
2026-10-31 06:06:48
1
Ferre Mula :
Huu ni ukweli mtupu kabisa
2026-10-30 20:05:04
1
nassorlly_06 :
رحمك الله
2026-10-30 19:48:35
2
Early motors&spares :
faatiha baada ya swala imetoka wapi
2026-10-31 05:50:13
0
Raeight Liston :
ibnu taymia ndio muendelezo wa fitna kwenye uislam
2026-10-30 10:26:11
4
abshiru yunus :
nataka nipewe hio dalili ya baada ya swala Kuna kusoma suratul fatiha na Dua ya pamoja baada ya swala ikiwa kweli hayo alikua akisema ni kweli basi teteeni hoja yenu tuone nani yuwapoteza watu mawahabi au makhurafi?
2026-10-31 02:07:39
1
MORE PEACE☑️ :
Wanajifanya wema hao hata mtaani ila ndio wahuni wetu tunaelewa 😁😁😁
2026-10-30 06:32:17
3
suleyman chambua mdee :
huyu alikuwa mpotezaji watu alikuwa katika walinganiz wanao waita watu katika milango ya moto
2026-10-30 07:04:10
1
To see more videos from user @badawiy.media, please go to the Tikwm
homepage.