@ngulelo.hood6: #viralvideo #arusha #bikelife #tiktoktanzania🇹🇿 #chuga

NGULELO HOOD
NGULELO HOOD
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 06:34:29 GMT
119499
7233
592
749

Music

Download

Comments

aah.cheeky_boy
ℂ𝕙𝕖𝕖𝕜𝕪 𝔹𝕠𝕪 :
Nlipanda nkakuta zile seat ambazo ukikaa unaangalia abiria wengine nkawa najifanya siioni akaniambia jomba keti apo madhabauni utapata baraka😂🤦
2026-10-31 09:13:34
628
drummer.boy2004
Drummer Boy⚽ :
Me Kabla ya kupanda nilimuomba Kwa Jero mpka Tengeru Akaniambia ni nunue Bamia niteleze nazo mpk Tengeru🫣🫣😂
2026-10-30 20:00:20
417
official.ney104
Official Ney💓👌 :
walikua wanachelewa kuondoka nikamwambia tuondoke wengine tuna haraka akaniambia tukukimbize mwenyew umekua mwenge😂😂😂
2026-10-31 10:47:24
399
rennah.mommy
rennah mommy :
nlikuwa n beb wangu tukaulizwa aya we adam na hawa mnashukia bustani gan
2026-10-30 20:17:17
624
nicklove4612
official Zaey🦋💸 :
tuliokuja huku kucheka tujuane😂😂
2026-10-31 09:22:29
362
marshalkeys18
Marshalkeys18 :
nilimwambia awake nyimbo ya gospel akaniambia yesu bado ajatoa albam
2026-10-31 08:10:50
220
karungicollections
@KARUNGI😍collection's 🛍👠🎁 :
Mi 😂nililala kwenye gar kumbe ni mwisho akaniuliza we rita Tumefikaa 💔😂
2026-10-31 06:32:55
218
majih.junior5
MAJIH JUNIOR :
me niliimuuliza kuna nafasi akaniamby zipo hadi za kazi???
2026-10-31 06:08:44
183
hilda_papaa
hilda🤎 :
nilimuomba nna Jero hadi siara akaniambia ninunue nayo maindi nishuke mdogo mdogo😂
2026-10-31 08:47:55
49
user.naah1257
It's Naah 💞 :
Nilimuuliza kuna siti akaniambia we panda dereva anashuka pale mbele utakaa
2026-10-30 12:17:35
230
hakika.moina0
Hakika moina :
jamani hivi kuna mwingine ana cheka kam mimi emu tujuane
2026-10-31 17:14:46
72
bigshaq053
Bigshaq486 :
nilimwambia konda mbona gari limejaa akaniambia ingiza roho ndani mwili achia nje 😂😂
2026-10-30 20:45:33
102
tj5348
Teddy :
Kila kituo akiuliza Amna anaeshuka akamwambia dereva twende tu Hawa wametukodi Leo 🤣🤣
2026-10-31 12:39:47
50
irene.elijah
Irene Elijah :
nilimwita wekonda we konda akanijibu konda na ww kama ni rahaaa😂😂
2026-10-30 22:01:32
80
sosho889
sosho :
mm nilimuomba kwa jero mda wa kushuka akaniambia gari haisimami we jirushe😅 gari zima walicheka mpk wanafunzi
2026-10-31 12:12:09
48
viollen124
Violleth Masaki🥰 :
Nilimuita kondaaa akanambia sema la mama alafu sijakonda nimaisha tu enyewe🤣🤣🤣
2026-10-31 17:44:01
27
edgarminja0
Minja Electronics :
tuliokujaa kuchekaa tujuaneee😂😂
2026-10-31 17:45:41
18
ramson6693
ramson :
tuliofata comment 😅
2026-10-31 04:36:12
80
wardahamisi65
🎀Wardy♡ :
nilikuta gari limejaa nikauliza mbona hamn seat akanambia kwan hao watu wengine wamekaa kwenye mkeka😅
2026-10-31 16:50:07
21
totosally2
Official sally 🍁❤️ :
Aliniambiaaa dada hii ni gariii cyo mboooo ikuoneeee isimameeee 😂😂
2026-10-31 00:13:58
105
user33018332634
user33018332634 :
mimi niliuliz mbon gari limesimama konda akanijib limepak mkong 🤣😂
2026-10-31 18:00:40
14
_void_astro
CØL💎🖤 :
kila mtu alishuka nikabaki mwenyew akaniuliza wewe mbona unachelewa kufika kileleni😂😂
2026-10-31 18:34:08
9
binamu101
binamu101 :
kaka zangu bn nlipanda zile gari za ngulelo zilivofupi af zimejaa akanambia eti ingiza roho ndani wacha kiwiliwili nje😂😂😂
2026-10-31 15:31:56
32
kamalakoronery0
kamalakoronery :
najua aiusiani ila konda aliulizwa na dereva kuna mtu anashuka akajibu amna labda ushuke wewe
2026-10-31 09:28:38
33
mr_mosses_mlay
mosses mlay :
nilimuambia subiri nakupa nauli huoni nipo huku nyuma, akaniambia kwani huko nyuma ni nje ya gari 🤣
2026-10-31 14:21:37
15
To see more videos from user @ngulelo.hood6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About