round hii wamejichanganya sana maana yule rais hawamjui vizuri
2026-10-30 08:03:51
147
#baba myrla :
waje bongo
kuna watu wanatuonea mnoo
2026-10-30 07:43:54
99
it's brand🦋❤️🍭 :
jamani mimi niko hait leo sijalala kesho narudi tanzania😭😭😭😭
2026-10-30 12:38:18
27
subibaby :
raia wasiokuwa na hatia ndo wanaoteseka😳
2026-10-30 09:15:57
29
Alke- Bulan🌍 :
Hawezi kuwashinda raia.wale watu wanapigania nchi yao
2026-10-30 08:42:31
13
Gee :
Nimeipenda hii
2026-10-30 11:58:56
8
Thunder ⚡ Eleven (Teckr...) :
Wewe ndio mchambuzi mzuri sasa sio wale wengine👍
2026-10-30 09:36:22
17
ziadaanton :
kaka.nitumie.ile.vidio.ya.yule.dada.mm.sijaiyona
2026-10-30 07:56:20
3
😘Agness🌹hapiphania🥰🥰 :
mungu achezewi analipa kwanamna yake
2026-10-31 20:30:04
1
Sênorita✨🍒 :
El Salvador 💪💪🙌🫡
2026-10-30 08:35:53
16
user1987733346337 :
mi niko haiti mbna kupo shwari
2026-10-31 11:08:07
0
Santos jayval :
Salvador wenyew wanapiga wakiwa angan,na uschokijuw MAWozO ni taasisi kubwa inayoendeshwa na waasi wanaopew nguvu na mataifa makubwa dunian so hawatoisha
2026-10-30 08:33:29
3
AUGUSTINO CRESENCE :
sasa raia wana kosa gani? hayo majeshi yaende kwenye kambi ya wale wauaji si wana ngome yao?
2026-10-31 16:11:22
0
millah🍎 :
Haya mambo nilikuwa naona kwenye move tu🥺😂😂😂
2026-10-30 09:39:02
2
Zary Official👑 :
Ata mim nimefurahi
2026-10-30 09:59:15
2
Ester💫💦🪷 :
semenii turudi tisa kumiii kuna watu huko hait watakufaa hawana hatiaa nyie🥹
2026-10-30 11:48:06
4
𝑱𝒂م𝒓𝒐𝒐𝒏 💋🐩 :
Kwanza iyo haiti ipo nchi gani na iyo el salvador ipo nchi gn
2026-10-31 15:21:06
0
falkland :
Hawaiwezi haiti shida ni watu wasiofahamika kirahisi