Mivan Trends collection :
hiyo roho ilimuigia baba angu uwiiiiii niliumia ila yeye hakujua kama aliniumiza kiasi gani na sikuonyesha maumivu yangu mbele yao,na hapo nilikuwa na ujauzito ,,uwiii hapo mama sina yupo mama wa kambo tu ,Kuaambiwa ukijifungua uangalie pakwenda, na hapo sikuwa na mpango wakwenda kujifungulia nyumban ila yeye ndo aliniomba sana nikajifungulie nyumban,,,ila namshukuru Mungu nilisamehe na sahv naendelea na maisha yangu,,,Namshukuru Mungu sana alinipa ujasiri wakutokuonyesha maumivu mbele yao,kwa yote niliyoyapitia,,,Natamani haya ningeyasikia kipindi hicho
2026-10-30 19:45:42