alama ya Round about we mwenyewe umechemka eti mbele kuna round about😂
hiyo alama inakaa kwenye round about na ipo kundi la Amri la maelekezo kwamba hapo ilipo kuna round about na nilazima uzunguke kufuata uelekeo wa mishale
2026-10-30 09:41:29
0
carda_🇹🇿🇦🇪 :
Iyo namba tatu sijaelewa kati ya wembamba au daraja😳