huku kwetu kuna makaburi ya masharifu masufi wanakuja kuomba watoto na kuomba uokovu uponyo kwa maradhi yanayowasumbu na mashekhe ndio.wamekua mawakala wakifuatwa na watu wenye haja zao kama mtu anataka kupata ajira anapelekwa huko kuombewa kwa sharifu kisha shekhe anapewa pesa yake ya kufanya dua life linaendelea
2026-10-30 08:53:57
1
khazana_technology :
sufiiiiii sufiiiiii sufiiiiii
2026-10-30 11:20:05
0
SOMBA بندار :
washirikina wakubwa
2026-10-30 08:51:26
0
ABU UNEYS :
Sunna sahihi
sasa hio sunna mwalimu wa hio sunna kaifundisha vp ?? na nyie mwafanya vp
2026-10-31 03:04:47
0
To see more videos from user @nyiradi_tv, please go to the Tikwm
homepage.