@abdurahmanijuman: KUNDI LA YANGA NI VIBONDE WATUPU…. HAPA DULLAH MBONA KATUVURUGA 😂😂😂🙌🏾 #Nasoma comments ✍🏽 #Nifollow @abdurahmanij4 #Follow @a.news__ #fyp

Abdurahmani Jumanne
Abdurahmani Jumanne
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 07:04:41 GMT
30248
1522
127
38

Music

Download

Comments

benjamin.timothy791
Ben junior :
msipoangalia wasafi mtapoteza watazamaji
2026-10-30 09:22:18
9
mohamedyfyumagwajr
mo khan jr :
jamani uyu sasa tutampiga [Perfect score][Perfect score][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-30 10:43:02
0
user8051628713138
sm :
atakae chukua kombe lazima atatoka kundi la simba
2026-10-30 08:37:53
6
sodrah.sm
sodrah sm :
mamaee unali
2026-10-30 12:09:43
1
smart_kalonga
smart_kalonga📸 :
sima bingwa kwenye ligi zao jamn [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-30 08:33:30
1
yohanabentho
Yohana Bentho :
oya mi Nisha maind mwanangu mabingwa watupu pale kibonde nani sasa
2026-10-30 08:56:54
3
lemali.lemoingoni
Lemali Mollel🇹🇿✅️ :
yanga tumemkosea nini hyu jamaa
2026-10-30 08:32:20
1
.alcos14
Aliys_alim :
uyu anaongea kiushabiki sawa timu bora ni simba na group lake
2026-10-30 07:58:42
5
user8101069849688
user8101069849688 :
acha sifa
2026-10-30 08:32:25
2
magreth.andason2
Magreth Andason :
msiwaze tukimfung simb upepo utabdilika na mungu atusaidie🙏
2026-10-30 08:33:42
3
king.de.salimini
King de Salimini :
mbn simba huwasemi kwamba ni vibonde hawabebi ligi kuuu
2026-10-30 10:39:52
0
moniccalucas102
Monicca :
Bona anatutusi huy kak unajua tumemchok
2026-10-30 08:43:50
1
khamisskassim793
Khamiss Kassim :
ana ishi wp tumfurahishe
2026-10-30 09:00:05
1
abelly82
abelly :
wasafi wote ni simba
2026-10-30 08:07:34
1
adamungulangwa
adamungulangwa :
anazarau ligi zote 4 awo ni mabigwa.
2026-10-30 08:11:07
1
nass08262
Nass :
kweli kabisa
2026-10-30 08:35:23
1
cber106
cber💪❌🚁 :
kabisaa
2026-10-30 07:23:59
1
rhobikhan565
rhobi khan :
ujakosea kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-30 08:06:52
0
user88593559995413
B.St@n :
Kundi alilopo Yanga ndio kundi la mabingwa kwenye ligi zao. Simba ana ubora gani misimu 3 bila kombe.
2026-10-30 11:48:04
0
johnson.mwanyika1
Johnson Mwanyika :
sahiv natafuta channel nyingine ya kufuatilia michezo maana hapa wasafi wanaleta ushabiki na sio kuchambua mpira 🙌🙌🙌
2026-10-30 11:37:53
0
binarah.hassan
Binarah Hassan :
sawa tu
2026-10-30 12:11:38
0
neycuty6
@neycuty :
kinacho fatia ni ngumi na matusi mnatupanda sasa
2026-10-30 12:16:35
0
amosindugu875
Amosi Ndugu :
kuanzia leo naacha kufatilia wasaf
2026-10-30 09:56:30
0
lau.lee0
Al-Alwy :
mmmmmm..... yangu maskio
2026-10-30 11:47:25
0
delvivine.togocho
Delvivine Togocho :
huy jamaa ni simba yan hakuna siku ata moja atasema yanga Kwa mzuri
2026-10-30 08:41:40
0
To see more videos from user @abdurahmanijuman, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About