@msreedah: Itakusaidia mtoto wa Mungu😌🤝 #storytelling #viralvideo #foryou #tiktoktanzania🇹🇿

msreedah🌾|Vlogs
msreedah🌾|Vlogs
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 07:44:28 GMT
36640
3607
169
278

Music

Download

Comments

cakeheaven23
heavenly delight :
Me niliyeomba Mungu nipate mtaji nimepata sasa naogopa kuanza 🤣 nyie
2026-10-30 11:35:28
54
careenjohn363
CJ MAX :
this vedio came to me at a right time
2026-10-30 09:55:45
41
becominggigwa
GIGWA🤍 :
I recently thought about this baada ya dress like your miracle and made a post about it seems like a message ya wakati
2026-10-30 11:01:43
17
glowhaven_cosmetics
GLOW HAVEN COSMETICS🛍️ :
Right massage right time right receiver Mungu akubariki
2026-10-30 13:31:40
14
wisher235
wisher23 :
Got it Ccy
2026-10-30 22:20:29
0
janegib99
Female King 👑 :
opportunity baada ya kukuona hauko tayari 😅
2026-10-30 15:08:46
12
edithafaustine2
ItsFaithh 🎀 :
Na mm nimeelewa nilikuwa naomba biashara nimepata Ila naona kama sikuwa tayar kuiendesha hiyo biashara
2026-10-30 07:53:37
45
joel.john242
Joel John :
uko sahihi kbsa na mimi kila siku Nina update my skills and experience kupitia forums & tools mbalimbali na hapa ukitaka uive zaidi pitia job description mbalimbali za international organizations na skil wanaotaka so kila siku mdogo mdogo unajifunza kimoja na practice hadi unakuwa na idea mwishowe expert kbsa
2026-10-30 09:55:39
19
lucy_wontlose
lucy_wontlose :
Eti baba😂😂😂, kumbe ni serious watu mko kusali kwa yule jamaaa
2026-10-30 16:45:46
1
kim.rey
Kim rey :
haha ni amazing
2026-10-30 20:02:13
2
mr_liverpool07
JAMES MELODIES 🎙️🎵 :
This Lady!
2026-10-30 12:44:39
9
miren0052
Miren 💓 :
for prayer points
2026-10-30 08:48:05
8
prettymanka2
prettymanka2 :
Ni kweli
2026-10-30 19:50:17
1
5545.middo.real
Middo 45 real :
AMEN
2026-10-30 19:45:40
2
madam.boss038
madam boss :
2026-10-30 18:43:01
1
daudjacob8
Daud Jacob :
M nakupenda
2026-10-30 18:11:11
1
arosey_ca.she.w.s
ate :
It’s true. Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu,Bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana. Mithali 16:1
2026-10-30 15:42:21
2
ms_glady5
Ms_Gladys 21 :
me uwa naenda interview ya vitu ambavyo sijasomea 😅😅😅😅😅😅😅na wananipokea vizuri nafanya interview
2026-10-30 11:12:13
5
mis_nadeer
Mis_nadeer :
🥺❤️
2026-10-30 13:56:10
2
ljm1253
Being _Lisa❣️ :
Mimi naomba alf baadae naji uliza mara pap!!!! Kikaja kweli sijui hata itakuaje!! 🙌
2026-10-30 18:26:05
1
anna123u1
Anna 🌸 :
that's why tunatakiwa kuomba Sana MUNGU atuongeze uwezo wa kubeba mambo Ask GOD TO INCREASE YOUR CAPACITY 💯🙌🏿
2026-10-30 18:25:25
2
iamfrankelijah
Brand | Business Consultant :
Trueeeeerrrrrrrrr
2026-10-30 14:57:56
1
jmaccessorie2
JM ACCESSORIES @123🔥😍. :
Yani Mimi😒😒 ngoja nianze
2026-10-30 16:33:22
2
lilyfrancis98
Lily 🌸 :
Ni kweli kabisaa📌📌
2026-10-30 14:24:30
2
madam.boss038
madam boss :
Nilimuomba MUNGU anipe jibu nifanye biashara gani kila nikiomba jibu linakuja niuze nguo za mitumba za watoto Ila ninavyoogopa jaman
2026-10-30 18:42:42
1
To see more videos from user @msreedah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About