@hmahalu:

MamaTJ
MamaTJ
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 08:18:11 GMT
14173
712
106
22

Music

Download

Comments

user36318845128581
Emmanuely,@mfikwa :
Mungu aliumba kiumbe cha kumsumbua yeye pamoja na sisi
2026-10-31 01:42:25
12
mnuni93
MIKHAEL✝️🇹🇿 :
Atheism, Agnosticism, Skepticism, Empiricism, Rationalism, Positivism, Secularism, Freethought n.k. Ni vizuri kuyaelewa haya makundi kwanza.
2026-10-30 21:49:22
1
kb__vallentino
Kb Vallentino :
kwenye debate za namna hii watu wa upande wa dini wanapata tabu sanaaa aiseee poleniii 🙌
2026-10-30 10:22:07
14
barnababest
barnababest :
Mara nyingi sana hoja za wa pagani huwa zina akili nyingi zaidi ya majibu ya wa umini...
2026-10-30 10:51:15
5
packpk72
pk Ǧ :
ni bola anae amini aende asimkute ila kuliko usiamini ukaenda uka mkuta ai ni mbaya Madeley 😅😅
2026-10-31 04:17:41
1
hancymbwambo
Hancy :
kama yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kwahiyo hatuna dhambi sasa??
2026-10-30 09:18:44
4
defacto436
De-Facto🔞😎 :
Tumejengewa kuwa na hofu🥹🥹
2026-10-30 08:44:15
2
johnpatrick75373
John Patrick75373 :
😂😂 ila ukiweka hisia pembeni na ukitumia akili kutafakari utagundua aya majamaa Yana point sn🙌
2026-10-30 22:42:59
3
user6105686362290
user6105686362290 :
We dada haya yanafikirisha sana majibu ni magumia sana
2026-10-30 14:48:50
2
official_kevern26
kevern bway :
kwahiyo kafara ni halali si ndio kama Mungu alitoa kafara ya damu ya mwanae na sisi tukitoa kafara ndugu zetu si itakuwa sawa2 just jokes 🤗😂🤣
2026-10-31 14:55:47
1
user814504769868
office designer75@ :
Kila mtu atabeba msalaba wake Ili andiko Lina maana Gani kama sisi tumekombolewa kwenye dhambi
2026-10-30 20:25:23
3
smailybabuu
lonewolf :
mama tj nitafikaje naomba unisaidie nifike kweny huu mswaada
2026-10-30 13:58:39
1
ally.mbwambo7
Ally MBWAMBO :
Adam na Hawa wakati wanazaliwa nani aliwaona na kuandika historia yao
2026-10-30 18:22:44
0
123mtanga
123mtanga :
Mungu yupo nandio tunamtegemeya
2026-10-30 17:32:00
3
kudema
@Kudemaboy :
maelezo mengi halafu hayana maana
2026-10-30 15:14:25
2
nagasaki_j
Nagasaki :
Mchungaji hana majibu
2026-10-31 03:21:18
1
geofreymaneno0
G :
Me nimeenda kutubu dhambi nimemtajia dhambi zangu Padri kaniitia police😥
2026-10-30 13:32:51
3
yusuph.peace.msak
yusuph peace msaki :
daa natamani sana angekuwepo hapo baba halima
2026-10-30 21:13:27
1
user814504769868
office designer75@ :
kama mungu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu Sasa sisi binadamu tumebaki nanani
2026-10-30 20:24:05
1
user2157983439254
user2157983439254 :
mie huamini Mungu yupo kwa sababu hii mie ninani kwanini nikawepo kivipi niwe na mifumo kama ya gari na ndio nikajua hakuna kilichopo kika jileta
2026-10-30 12:58:14
0
hemedbanda
maprosoo :
muendelezo tafadhali
2026-10-30 19:18:52
1
hancemasihi1
hancemasihi gospel singer :
natamani kuwepo apo
2026-10-30 10:24:38
3
bakarimbelwa953
bakarimbelwa953 :
Hii debate mtafuteni Shekh Mazinge au Shafii hao wapagani watapata elimu nzuri!!!
2026-10-30 11:56:41
1
edwinedward933
Edu Edu :
natamani sana kuwa hapo kwenye huo mjadala
2026-10-30 19:11:14
1
victor.ben3
victor ben :
sadaka alikua anaipokea nani?
2026-10-30 14:58:05
2
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About