@sophyntibah:

sophyntibah
sophyntibah
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 08:18:19 GMT
35578
1499
84
181

Music

Download

Comments

vashit8582
Vasht.vasht :
sita record mtu hata aseme nini lakini pia sitakuwa kinara wa maneno. Niliona mtu karecord katuma kwa boss wote wawili wakaondolewa kazin
2026-10-30 09:43:00
33
jacklinee123
jackie@76 :
dada [Red heart]
2026-10-30 16:52:27
1
agnesslugejuna
agnesslugejuna :
Nakupenda bure mdogo wangu.
2026-10-31 06:39:39
1
janengaga402
Jane Altar :
kuna vijimambo ofisin tufanye kazi Kwa akili na hekima
2026-10-30 12:27:03
14
salha10842
Mama girl❤️ :
Hii imenikuta kabisaa wiki hii hii😂😂🙌🏼na tupo wawili tuu ofisin saiv sipo kazin tena🥺kumbe mwenzangu snitch wakutupa😂😂ilaaaaa
2026-10-30 11:27:46
9
vivy7152
vivy :
umenisaidia jinsi ya kuishi kazini , love you
2026-10-30 12:23:32
4
maysam2218
Maysam❤️ :
Aaaah Yule dada stamtaja ila alinifundisha kitu 😂😂😂😂 sahv siongei bao lolote na wakianza hzo stor tu napotea shwaaa
2026-10-30 13:05:02
5
lilianmsofe8
🎃 :
nipo mimi hapa kwa uropokaji kila siku naitwa kubanwa uwiiii
2026-10-30 11:07:24
3
virtualassistant_anitha5
Anigav_virtual_services :
kwahyo umekimbiliaa huku😅😅😅😅
2026-10-30 13:38:03
1
minzahumbimusisa
Minza humbi Musisa :
nakuona shogile❤️
2026-10-30 08:35:15
1
lily_hingi1
Lily law :
Ila umependeza mdada mzuri❤️❤️
2026-10-30 12:25:57
2
g.milionaire1
Gee💰 :
ila Sisi atuna magroup 😃😃😃😃😃 boss mwenyew mchina 😃😃😃🙌🙌
2026-10-30 10:11:25
0
magrethmwaitebele
[email protected] :
eh Mungu atusaidie😂😂😂 upo live dada umependeza sanaaa Mimi mwenyewe nasemwa balaaa kazini na sijali Wala nn tuacheni viherehere
2026-10-31 02:40:52
1
lenee067
lii :
kwetu kwenye kikao alisema kabisa anamasikio mengi
2026-10-30 10:12:28
2
janey255og
Janeth Joseph :
haya ni ya kweli kabisaaa
2026-10-30 09:33:40
3
sharifa.salum3
Shunnah ❤️🦋 :
Hii nayo ni kubwa kuliko[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-30 19:06:20
1
mslalasilv
mslala :
Kibaraka akishakurekodi
2026-10-30 12:13:59
2
erickee107
Erickee :
noted
2026-10-30 09:53:41
2
elizabeth55958
lizy :
exactly
2026-10-30 10:03:35
2
roswitandanzi5
Mummy 3L's :
Sahihi
2026-10-30 13:54:22
1
dreysanciel
Miss Debby :
2026-10-30 13:09:48
1
joleshy
joleshy :
Mungu akubariki dada yangu
2026-10-30 08:30:48
2
byeramaguru
B.M :
kabisa dada
2026-10-30 11:47:15
1
kadadaa74
kadadaa :
asante mtumishi
2026-10-30 11:23:30
1
teddyelieza557
teddyelieza557 :
Umeona eeh😳
2026-10-30 10:29:41
1
To see more videos from user @sophyntibah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About