hio pastor stakubali kila kitu changu nimali Bwana yesu kristo na yeye ndiye anatulinda pamoja na mali zetu fear not!
2026-10-30 11:52:08
26
user2086598715613 :
asante
2026-11-02 11:15:59
0
judymwacha :
hata ndani wana nguvu kuingia ndani ni mungu atulinde
2026-10-31 19:53:46
8
Above only :
mwnye ataelewa na mambo ya kiroho hata bishana .ni kweli paster
2026-10-30 18:49:07
10
janepher malese :
Mimi nilipata mtu amekata Dera yangu
2026-10-31 12:09:52
8
GADAFEE 🇲🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱 :
Zaburi 127:1
[1]BWANA asipoijenga nyumba
Waijengao wafanya kazi bure.
BWANA asipoulinda mji
Yeye aulindaye akesha bure.
(A Song of degrees for Solomon.) Except the LORD build the house, they labour in vain that build it: except the LORD keep the city, the watchman waketh but in vain.
2026-10-30 17:02:49
6
swee darlingtone :
tunalindwa na damu ya yesu na kuongozwa na roho mtakatifu 🙏