jamani sijaelewa nimepeleka mbele bando sin amesemaje😳
2026-11-04 05:19:28
15
Reezy 22 :
Kuna la kujifunzaa hapaa😳
2026-10-31 15:41:40
80
@mrsramawido🥰 :
jitaid saut iwe juu
2026-10-31 10:54:57
19
monny_collection_tz. :
next uwe unasimlia haraka haraka ... bando Abby bando 😅😅
2026-10-31 20:31:39
24
Primosaah🎀❤️ :
na vipi kuhus wanaume wanaowaahid wanawake kuwaowa na wanaenda kuoa wanawake wengne
2026-11-05 13:34:20
10
D💦 :
kama kuna alieskilizq anielezee kwa ufupi
2026-10-31 15:21:50
18
master A mind :
baby naomb tujirekodi
2026-10-31 05:35:12
14
pvdimei :
brother aiseee umezungumza vitu vya maana sanaaa I appreciate it
2026-11-10 19:32:50
4
Am gatrena🤍 :
the voice 🫢🙌
2026-10-31 11:26:38
5
Morer Der King :
mmmh mbona kama stor ya jamaa yangu hii daah
2026-10-31 19:23:22
31
🌴🌴🌴Roger Kanjunju🐝🐝 :
kwanin Tanga Uncle 🥺🥺🥺
2026-10-31 07:16:23
9
Eraa :
nipo zangu bize na gari kuoshwa
2026-10-31 11:19:13
9
@OfficialKENNY :
oyaa wee last born hapa🥰
2026-10-31 03:49:04
5
Abdul-samiu Suleiman :
daah kaka iyo inauma sana n bora kuachwa kuliko ilo pigo
2026-10-30 19:04:35
7
binti.sayuni :
iv hapa nasikilizaa au na tazama maana naangalia kingine na ninasikia kingine ninachotazama sikielewi ila ninachosikiliza naelewa bas wacha niendelee kusikiliza
2026-10-31 06:18:50
6
Salum Salum :
daahhh mtihani san brow nimekuelewa vizur
2026-11-09 10:30:43
9
ethan :
fact sana brother
2026-11-10 16:52:08
1
Ahmedy Mumo Tz :
amin mjombaa anguu mpk nimeangush machoza
2026-10-31 22:51:31
5
Nasmira :
Mungu atuzidishie maalifa kwenye akil zetu jamani
2026-10-31 15:46:48
8
junadylastborn🏃@ :
ongea haraka bro wengine tunakaa mbalii
2026-11-09 14:31:32
2
hellen mmbago🥰 :
Abby ongea harak harak kidog au nikuwek speed🤣🤣🤣🤣
2026-11-10 21:02:52
1
umu khadija :
so sad
2026-11-11 07:33:55
1
ashura kidoti♥️♥️♥️ :
dah kaka napenda mafundisho Yako na inauma sana binaadamu wanao sambaza video za mwenzao inauma baada tumuombee ama apate ushaur ila cha ajabu watu wapo busy kusambaza video 🤔😒😥
2026-10-31 11:34:34
2
C.E.O FROM CHUGA👑 :
2026-11-10 15:27:05
1
To see more videos from user @shabiru055, please go to the Tikwm
homepage.