@ghazal.tv1: https://www.instagram.com/reel/DezLNvdCmy-/?psln=MXVra3FvazhjNzNraw==

GHAZAL ONLINE TV
GHAZAL ONLINE TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 09:31:14 GMT
36341
3116
31
117

Music

Download

Comments

mil17366
mil :
Ujumbe wa Mufti wa Bakwata
2026-10-30 10:11:46
7
omanoman5429
Oman Oman :
kuna 1 hapo amekasirika kweli naona ujumbe umegonga Ikulu 😁 mi nisalimien sana Sheikh Mziwanda namuona anatabasam tu kapenda Mawaidha maana nayeye ndo zake hatufichagi anatuchana live bila uoga
2026-10-31 07:47:35
0
hudhaifa..10
Hudhaifa __10 :
Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa. 33:70 📖✍️
2026-10-31 23:43:53
0
willi.mbuyi
WM Mbuyi :
upo sahihi Mashekh wana adisi za uongo sana
2026-10-30 22:04:17
0
khaliglass17
Khaliglass17 :
Allah akbar
2026-10-31 06:52:50
2
user7656785556855
Anord :
hapo umeongea ukweli
2026-10-31 12:30:40
0
allahu.akbar.allah5
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR. :
S. A.W.
2026-10-30 16:54:04
0
muya.snr
Muya Snr :
Mwelezeni Sule
2026-10-30 15:35:47
0
user5525065708676
Abuu maujude :
mashallah
2026-10-30 18:42:54
3
aishamahmoud195
@💜 MashaAllah 🥰 🥰 🥰 🥰 :
Astaghfirullah 🤣🤣🤣🤣nimecheka
2026-10-30 16:01:38
1
assanimaliki123
AssaniMaliki123 :
tustiriane
2026-10-30 21:47:37
0
ramsokaniki15gmail.com0
@fmy748 :
mh🥰
2026-10-30 19:49:46
0
mil17366
mil :
Masheikh wanaongoza kwa uongo na fitna
2026-10-30 10:10:50
3
mngude
MNGUDE001 :
shehe tupe ile dua tuache uongo
2026-10-31 07:13:59
1
rashidiamani2
rashidiamani3 :
hakika nipate number Yako uokote
2026-10-30 17:18:21
1
singo.moshen
Singo Moshen :
ikifika chalinze inachemka
2026-10-31 16:57:38
0
daniel.simon924
Daniel Simon :
kuna mjumbe uo unamuusu...
2026-10-30 22:13:41
0
anu24247
anu :
nimea. alhaji. sudi. sheh sale. shekh. ndevu. shekh. mwamed. aeadh. hata. chungi. pia
2026-10-30 15:56:15
0
ibrahim.sanga34
Ibrahim Sanga71 :
jalibu kufanya biashara uwe mkweli
2026-10-31 08:51:23
0
sl5180
SL :
niwaongo kweli wanapenda uongo
2026-10-31 17:56:22
0
allahu.akbar.allah5
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR. :
Hao wengine mbona kama wapo Kinafiki.
2026-10-30 16:53:26
0
muhidinmadenge
mgendereni :
na uchawiii pia tuache na shiriki pia tuache Hilo bonge la tatizo
2026-10-31 16:57:54
0
hudhaifa..10
Hudhaifa __10 :
Apate kukutengenezeeni vitendo vyenu na akusameheni madhambi yenu. Na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, bila ya shaka amefanikiwa mafanikio makubwa. 33:71 Qur'an 📖✍️
2026-10-31 23:44:27
0
rehema770
Reyhan🥰😍 :
😁😁😁
2026-10-30 23:55:50
0
user0788876837
faizo Abdul :
🥰🥰🥰
2026-10-31 17:00:00
0
To see more videos from user @ghazal.tv1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About