[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] huyo ameshazoea siasa sasa kazi ipo
2026-10-31 04:12:22
0
Mujitaba Mickidady :
Yani wewe unatutaka Nini?
2026-10-30 20:11:53
12
BABA UMMY :
huyu ni kibaraka jamani sio simba
2026-10-30 15:23:59
12
user3405204607616 :
sema Nini Oct 29 huwa inamambo mengi sana ya kufanya watanzania waliwazike, inshallah kwa mbinu zenu njema
2026-11-01 08:09:55
0
Jocker s.s :
uyu mzee watakuja kumuelewa siku akiachana na simba
2026-10-31 23:14:47
1
tafakurizakifikra :
huyu mzee anatutafutia nini lakini
2026-10-31 06:31:24
3
hammysi :
Kisheria huenda yupp sahihi lakin haya mambo kwanini asiseme siku zote hizo? Huku ni kuzua taharuki, aandae kipindi basi cha kutoa elimu juu ya simba
2026-10-31 04:42:54
5
nelly wa bajaj :
mwenyekiti mda wote sukari ipo jui
2026-10-30 17:36:24
3
Ram saalem :
na huyu ndie alie tuletea doumbia
2026-10-31 19:33:51
3
davsonydenis :
na huo wenyekiti aliupata vp
2026-10-31 19:07:28
0
user91244425302482 :
ni kweli,Simba haina mtendaji mkuu
2026-10-30 20:26:46
4
@babajaylan :
ngungu boy safiii
2026-10-31 18:44:38
1
I.t.c_m.o.u.d.y :
mangungu huo ndio ukweli👍
2026-10-30 13:42:53
2
herocode17 :
mzee yupo sahihi
2026-10-31 05:14:11
1
frolalukakamba :
mbona mm namwelewa jaman
2026-10-30 20:44:25
2
crazy GK :
nasimama na mangungu
2026-10-31 05:23:13
2
Savanna Fiber DAR & DOM📢📢 :
kwani huyu ninani
2026-10-30 19:44:23
2
isack mw :
yupo sahihi kabisa
2026-10-31 04:54:55
1
David saoke Decoration master :
tunajua aliletwa na Gsm kuvuruga simba na kumchalange Moo Dwj
2026-10-31 06:02:45
1
Rajabu :
hii ndio TANGANYIKA yetu
2026-10-31 16:50:16
1
Patrick~ Mr patto :
ukute na Bumbia amesajiliwa na Simba company limited na sio Simba sports club 😁😆
2026-10-31 22:23:54
1
benzema mkali :
braza unastahili kuongoza timu kubwa duniani una akili kubwa sana, big up
2026-10-30 20:29:47
2
G_love :
Sasa yeye kiongozi wa simba ipi
2026-10-31 16:10:31
1
TEMBO :
wewe umesema kama nani
2026-10-31 08:16:57
0
Chris :
Huyu ndio Simba yenyewe sasa ila kwasababu walishaambiwa ni mambumbumbu hawawezi muelewa huyu mzee inabidi watafakari sana watakuja kumuelewa siku wakiambiwa Simba ni ya MO na ishauzwa ndo watahamaki.
2026-10-31 04:13:20
2
To see more videos from user @dembele_hassan_tz, please go to the Tikwm
homepage.