@lux_auror: ukibisha utajua wewe#goviraltiktok♥️ #islamic #searchcreatorssearchinsights #goviraltiktok #goviraltiktok

LUX AURORA
LUX AURORA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 09:38:59 GMT
15062
2033
285
97

Music

Download

Comments

hija.khatib6
Z.Traore :
Mashallah umeongea neno zito leo Allahumathaabit bilqaul thaabit
2026-11-05 19:51:18
0
shefmuba
shefmuba :
kifupi ni hivi sayansi yoooote ipo kweny qurani
2026-11-01 01:14:35
61
habibati919
habibati :
alla akbar
2026-11-05 08:55:40
0
mudiuredi
mudiuredi :
mung akupe mwish mwema
2026-10-30 14:27:43
61
kichuya.munju
kichuya Munju :
mashallah 😍🤩🤩🤩🤩😻 i
2026-11-05 05:13:46
0
mzalendo.3
Mzalendo :
huko majini wanasemaaje?
2026-10-31 00:55:02
0
issa.lingole
ISSA ling'ole :
nikweri arrwa huwakibaruu
2026-11-03 06:51:29
0
madam.baby8480
madam baby :
waislamu taqbir
2026-11-02 11:02:25
15
last.born1440
LAST BORN :
Takbiiiir
2026-11-01 03:28:13
10
razzramee
Ramsy gee :
takbiir
2026-11-02 18:55:08
3
yb.ghostzone
yb Ghostzone :
safi sana broo,lazima tuilimde Quran 🤛🤛🤛
2026-10-30 17:13:06
30
nancymolley1
Nancy's :
awaiyigopo ila tuliambiwa tusishike maana Ina majini ndomaana tuna iogopa😂😂😂
2026-10-30 14:26:57
4
mr__product
Mr product💄🧽 :
Upo vizuli wew Duuh unajuwa Kuongea Ukweli sana Ongera sana
2026-10-30 17:49:38
15
kutespa_tz
𝑲𝒖𝒕𝒆𝒔𝒑𝒂_ŧž🇹🇿 :
kaka ww ni mtu ambae haufati mkumbo yani naamini umefanya utafiti kabisa wengine wanakalilishwa kua quran ina majin yan daahh😂😂Allah akuongoze
2026-10-30 17:48:08
12
arafa.arafat6
Arafa Arafat :
waislam takbirrrrrrr
2026-11-05 11:03:34
1
omary.mashavu
Omary Mashavu :
wewe utakua Malaika c bure
2026-10-30 18:58:52
2
naddzour.2
Messi daughter 😘😘😘 :
Unakiheshimu ww mbona mm sikiheshimu chefuuu
2026-10-31 22:57:57
0
mongifrank5
mongifrank :
Na hakuna aya yoyote kwenye qurani inayosema gibril ni malaika
2026-10-30 18:30:58
0
official.m3dy
M3dy :
Umenifurahisha kaka uliposema utajuwa mwenyewe na maisha yako HUNIJUI 😂😂😂😂
2026-10-30 18:14:43
6
christianprince6690
Christian prince :
kuna tofauti ya kukiheshimu kitu na kukiogopa,watu wanawaogopa wanafunzi sababu kuna jela miaka 30 ila hawawaheshimu kama wake za watu.
2026-10-31 16:18:24
0
sophiaabdullah30
sophiaabdullah7 :
waislam takbiir
2026-10-31 12:41:56
0
abuuhibatullah
Abuu Hibatullaah :
Allaah akulipe kheir
2026-11-05 05:20:28
1
drmakhak0
makha 0776567816 :
kweli kabisa mdogo nashkuru umeelewe UISLAM ahsante wewe ni NDUGU yangu
2026-11-05 09:36:28
1
chebeboy5
Chebe Boy :
Namm ustadh ukweli wako mcungu sana kabisa hakika kweli🙏♥️♥️♥️😎
2026-11-04 10:12:32
1
frj500
F@r@J! :
Allah anasema katika Suratul Mu’minun (23:12–14): “Na hakika tulimuumba mwanadamu kutokana na asili ya udongo. Kisha tukamjaalia awe tone la manii katika sehemu yenye kutulia salama. Kisha tukalifanya tone hilo kuwa pande la damu iliyoganda, na pande hilo tukalifanya kuwa kipande cha nyama, na kipande hicho tukakifanya mifupa, na mifupa tukaivisha nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwingine. Basi ametukuka Allah, Mbora wa Waumbaji.” Nk. Aya Maneno Ni Ya Takribani Miaka 1400 Iliyopita.
2026-11-02 13:30:02
3
To see more videos from user @lux_auror, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About