waelimishe wao wasiyojuwa mpira kazi kusema sindano zimeisha nguvu
2026-10-30 10:28:35
22
bigcher :
dula hata simba wafunge kwa mikono kwake hakuna kosa uyo sio mchambuzi anaupendeleooo zaidi
2026-10-30 11:30:40
3
Rhino 🦏_Abakenaga :
kama toure alikuw offside mbon alihusika kwenda kupiga kichwa huo mpira huoni kosa
2026-10-30 12:51:09
1
Benedict Theophil :
ipo siku hiyo simba unayoipigania itakutoa machozi tuko pale👉tunakusubiri
2026-10-30 11:25:26
0
🚭Łïķø jüñïôř🌿 :
mbn kama AI
2026-10-30 12:14:49
0
user9353966053721 :
dula taja namba wana simba yufanye yetu maana nyuma mwiko wanaumia
2026-10-30 09:57:13
8
glory love :
Namba ya kupokea hela ya soda tafadhali
2026-10-30 13:09:05
4
luuh :
tutawavumilia mpk tujuw ww upo timu gan
2026-10-30 10:02:57
0
masele :
ilo ni gor halina kona kona maan mfungaji alikua nyuma ya hao walizi
2026-10-30 09:51:35
4
mandela@loliondo🤝 :
unajuwaa sanaa, mtu wa hizii kaziiii,🥰🥰🙏
2026-10-30 12:26:08
2
Samson2000. :
iyo alikuwa mbele bwana hadi unajicheka
2026-10-30 14:35:00
1
user9534275762467 :
kwan hao hawakushiriki kuufata mpira wakiwa tial ni offside naomba uelewa hapo na hapo tutaonaje bolck wakt video hai play kwann usituonyeshe ikiwa inaplay kaka tupate kujifunza zaid
2026-10-30 15:26:09
1
Ndux mnyama :
Dullah weka namba tufanye jambo wana Simba kaka🫡
2026-10-30 10:12:41
4
lone jr :
jamaa ajiriwe simba
2026-10-30 11:29:19
1
Msomi Mapilya :
simba tu wewe amnamtuapo zazazazaz nyingi auwezi kuuelezea mpila
2026-10-30 17:07:59
0
daudijames68 :
wewe
2026-10-30 10:27:54
1
bigcher :
Tanzania ili tufike mbani kwampira refa'wachambuzi wa mpira wawache upendeleo .kutokana na kubebwa na marefa ndio mana tunashinwa nje ya Tanzania
2026-10-30 13:22:42
1
SPOKER26 :
inajua kak
2026-10-30 15:22:49
0
fabrizio💚 2009💛 :
acha kuleta maelezo
2026-10-30 15:27:38
0
Mageni Jackson :
nguvu moja point unazo na tunatamba nazi
2026-10-30 17:24:44
0
sanjaboe@123 :
nmesikia simba haina CEO nataman kwa udeep wa details unaonaje ukawe CEO🤣
2026-10-30 18:18:20
0
ezeckiel :
acahana na nao kaka wanaelewa ni of side ss tushachkua point 3
2026-10-30 16:15:16
0
medy :
najitahid kukuelewa lakin bado
2026-10-30 17:19:44
0
Zabibu Rajabu :
𝒏𝒂𝒌𝒖𝒑𝒆𝒏𝒅𝒂𝒈𝒂 𝒃𝒖𝒓𝒆 𝒌𝒂𝒌
2026-10-30 11:41:32
0
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm
homepage.