Ni kweli kbs mchungaji! niliamua kuondok na kumuacha sikuondok ht na kijiko lkn kwa sas yeye ndo kaishiwa kila kitu anahangaika kunitafuta nirudi
kikubwa sijamuacha Yesu kristo namshukuru Mungu kwa hilo[Pray][Pray][Pray]
mimi niliondoka nikamwachia nyumba nikataka kuchukua watoto nikae nao....weh nilizungushwa police station kadhaa hadi nikamwachia na hao watoto pia.
sahi na support watoto wangu nikiwa mbali na mama yao.