@clemence.mwandambo:

Clemence Mwandambo
Clemence Mwandambo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 12:12:02 GMT
98785
2753
389
167

Music

Download

Comments

fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Si kila aniambiae bwana-bwana atauingia ufalme wa mbinguni.Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniepusha kuwa mfuasi wa Roman Catholic Church 🙏🙏
2026-10-30 13:44:17
41
ramadhanjumamrefu
Ramadhan juma Mrefu :
mauaj ya zanziba vp wanafanishwa nan
2026-10-30 15:56:25
27
mjahidinaissa922
mjahidina issa :
hapo clemence umeongea ukweli mtupu
2026-10-30 13:50:42
79
davex976
Davex :
Tumsifu Yesu Kristo!!!![Pray]
2026-10-30 18:13:50
27
user7148023482601
Thomas Sankara :
unapata wapi ujasili wa kumtukana cardinali,
2026-10-31 19:06:30
12
user57137683253277
user57137683253277 :
catholic kanisa la linalo penda ligi
2026-10-30 12:44:39
29
lastborn8632
last born :
mbn yupo swa kwan kipi amekosea sas au angeswmaje
2026-10-30 12:31:10
9
deuskasenene525
Deusi mfanya biashara :
siamini kama yesu nae alikuwa mhuni.
2026-10-30 13:21:18
23
kagulumi
HG-9ALR :
YESU HAKUPAMBANA NA TAWALA ZA DUNIA, YESU ALIKUJA KUTUFIA WENYE DHAMBI NA SIO KUSHINDANA NA TAWALA ZA DUNIA. MSIPOTEZWE NDUGU ZANGU
2026-10-30 12:39:47
18
abdunoor762
Efend Efend :
yesu alisema ya Kaisari mmepeni Kaisari na Mungu mpeni Mungu ila sasa hawa viongoymz wa dini wa ushubwada wanachanganya siasa na dini
2026-10-30 18:33:05
10
anna.msofe69
Anna Msofe :
acha tusikilize hadi mwisho sio kujudge ,,hiyo ni kazi ya Mungu sio yako,acha kuhukumu Kanisa Katoliki,hatuamini katika siasa kabisa
2026-11-03 19:03:23
1
innosblecd2
innocentmulokozi8 :
na je? hukumu Yao ilikuwa ni kuuliwa au? naombeni majibu
2026-10-31 11:49:22
3
inchargemanyot
A Ibrahim :
Catholic ni Taasisi ya Chadema
2026-10-30 19:58:41
12
linaahsalaho
linaahsalaho :
wakatoliki wenzangu mapendo
2026-11-03 06:57:05
4
kingtwally
user59280824572693 :
Kumbe kuna viongozi machizi
2026-10-30 13:56:26
14
msukumabodaboda
PASCHAEL CHEYO MASELE :
katika maandamano kulikuwa na vibaka na watuwema mfano kuna kijana mwenzetu mkatolik tulimzika huko mkoani aliuliwa dar es salam alikuwa kwenye gar yake ya kampuni ndio katoka chuo kaajiliwa na miexi mitatatu baada ya vurugu akaona ashuke kwenye gari kushuka tu kakutana na risasi akafariki baada ya kufikishwa hospital. tuliumia sana tulimzika kijana mwenzetu mkatolik tena mwandambo kama umekosa vya kupost achana na mambo ya dini watu tuna maumivu moyoni
2026-10-30 19:58:23
1
japhetkabelege
japhetkabelege :
Hiyo homilia wala haihusiani kabisa na matukio ya Octoba 29, hiyo ilikuwa siku ya mazishi ya askofu Novatus Rugambwa huko Bukoba.
2026-10-31 13:01:07
5
user0721260289
Andrew kimosop :
saints are not deity🫴
2026-11-02 20:12:45
0
user9095551673739
juma abdillah @13 :
aisee bro mwandambo nakukubali sana mkubwa mwisho wa siku wataluelewa tu!!
2026-10-30 17:29:14
5
violetmmasi
violetmmasi :
HERI YAKO YAKO MUNGU ALIKUUMBA NA AMEKUPA NGUVU YA KUKOSOA INJILI YA MUNGU MUNGU AZIDI KUKUPA UZIMA ILI UONE UKUU WA MUNGU NA NGUVU ZAKE
2026-10-31 22:41:55
3
verdianamuhumbi
mama wawili :
xw walikuwa wanafanya kwa ajili ya nan kwa ajili ya uhuru wako na wangu
2026-10-31 12:36:15
1
shebymudisulesule
shebymudy :
Je walianzisha tuu au kulikuwa na chanzo Cha vurugu?
2026-10-31 20:17:56
2
natoa64
citizen :
kwa hiyo yesu alichoma mali za watu na kuiba bia na pesa za watu?
2026-10-31 09:19:45
4
abdul.waheed_17
AW :
Hao hawana tofauti na Netanyahu na Trump. Wanaanzisha machafuko halafu wanajizima data na kujiona waliyo yafanya ni sawa.
2026-10-31 04:08:18
4
user1382277955109
Othman Maimba :
Mwandambo some times nakuelewa sana
2026-10-31 07:59:35
3
To see more videos from user @clemence.mwandambo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About