@selphix_media1: Hivi ni kweli kwamba milioni moja haiwezi kuanzia biashara?🤔 Na kama inaweza kuanzisha biashara, je ni ipi? Dondosha comment yako kama kuna biashara inawezekana kufanyika au ni pesa ya matumizi tu. #selphix_media #dodoma #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #tiktokviral