Acheni kutia watu hofu mbna mvua za kawaida hizo, na Mara kwa Mara hutokea mafuriko baadhi ya sehemu na huwa hamesemi kuwa n elnino, kwa vile mlitangaziwa na wazungu?
2026-10-31 00:07:15
6
Prisca Hussein :
mungu we nimuweza wa kila jambo tunakuomba tuepushe na mvua za utabili wa binadam tujalie mvua ya kawaida isio kuwa na uwaribifu wa vitu wala watu
2026-10-31 16:02:01
17
CASCARABIAS MKONJE :
Ije na huku kilimanjaro tunaingojea kwa hamu serikali ituletee na huku
2026-11-01 15:46:00
2
Debby🥰🥰 :
cameraman amesmam wap jamn
2026-11-02 11:44:31
0
W BOY magibo :
mala sehemu gani hapa
2026-10-31 17:19:46
0
Obedy s Sulle :
mbn yakawaida san
2026-10-31 05:40:35
7
RAYMOND MIRENI :
mara sehemu Gani?? mbona mara jua Kali??
2026-11-03 06:41:31
0
amara :
afu mara kuna jua kali ila yeye kasema mala
2026-11-02 18:01:33
0
neyjemy :
mungu saidia
2026-11-01 22:54:32
0
Badface :
kwan hiyo ndio Elnino?
2026-11-02 09:42:56
0
Joseph Mwigune :
ndyooo
2026-10-31 12:41:56
0
Chrispine :
kigoma
2026-10-31 13:26:32
0
Lenad :
poleni snaaaa
2026-10-31 17:01:17
0
Fredy :
Sasa unalia nini kwenye caption?
2026-10-31 08:17:02
0
ALEX MANYORI :
daaa nomaa sana duu🥰🥰🥰
2026-10-31 17:57:38
0
abdullatifkandwa :
alminiam
2026-10-31 11:22:38
0
Màry💝 :
ila watu tunapenda kujiamulia mambo🤔
2026-10-31 16:47:55
0
Ben alpha :
Mara sehemu gani
2026-10-31 14:47:53
0
Barak+255🇹🇿 :
kumbe ni mala sio mara et
2026-10-31 22:16:13
0
Ratifa Saidi :
yaana dar jua mpaka nimesahau harufu ya mvua😁😁😁
2026-11-03 21:01:01
1
Angel Nassary :
sehem gani mbona huku dar jua kali mno!
2026-10-31 18:30:57
3
jief master :
na dar tunataka elnino yetu sasa maana hili jua sio poa litatuua
2026-11-01 12:31:56
1
vailety boha :
hiyosiyakawaida msituchoshe
2026-10-31 09:17:19
5
To see more videos from user @momobae808, please go to the Tikwm
homepage.