@abdulrahman.podcast: 🧕❤️ HIJABU YA KISHERIA SI FASHION, NI AMRI YA ALLAH. Hijabu si kitambaa cha kufunika kichwa pekee, bali ni sehemu ya heshima, staha na utiifu kwa Mola wetu. Mwanamke wa Kiislamu ajisitiri kwa mavazi yanayokidhi masharti ya Sharia, yanayofunika mwili wake na yasiyoonyesha maumbile yake. Uzuri wa mwanamke haupimwi kwa kiasi cha mwili anaouonyesha, bali pia kwa heshima, haya na uchamungu wake. 🌸 Hijabu ni ibada, si utamaduni. 🌸 Hijabu ni utiifu, si mapambo. 🌸 Jisitiri kwa ajili ya Allah, si kwa ajili ya watu. Allah atujaalie sote kufuata maamrisho yake. Aamiin. 🤲 #HijabuYaKisheria #Uislamu #MwanamkeWaKiislamu #Stara #Heshima
@abdulrahman.يس
Region: TZ
Friday 30 October 2026 13:18:46 GMT
Music
Download
Comments
killerzer :
mashallah tabaarakallahu
2026-10-30 14:54:44
1
ZUNGU :
mashaallh jazakaallh
2026-10-30 16:04:30
0
To see more videos from user @abdulrahman.podcast, please go to the Tikwm
homepage.