@sisi_estate: ⚠️ UNANUNUA ARDHI BILA SHAHIDI? UNAWEZA KUJITENGENEZEA MGOGORO WA BAADAYE! Unaponunua ardhi, hakikisha mwenyekiti wa kijiji au mtaa anashirikishwa kama shahidi katika makubaliano ya mauziano. Ushiriki wake unaweza kusaidia kuthibitisha makubaliano na kupunguza migogoro inayoweza kujitokeza baadaye. Kumbuka, mwenyekiti kuwa shahidi pekee hakuthibitishi umiliki halali wa ardhi. Hakikisha unafanya uhakiki wa nyaraka na umiliki kabla ya kulipa. ARDHI NI MALI, USINUNUE KWA MAZOEA, NUNUA KWA UHAKIKA! 🏡 Karibu SISI ESTATE COMPANY LTD kwa ushauri na huduma za ardhi zilizo sahihi. 📞 0746 100 023 #SISI Estate #SISI_Estate #ElimuYaArdhi #SheriaYaArdhi #UmilikiWaArdhi #NunuaArdhiKwaUhakika #ArdhiTanzania #EpukaMigogoroYaArdhi #UwekezajiWaArdhi #Tanzani#Arusha #RealEstateTanzania #MilikiArdhiKwaUsalama #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral #fyp