@uhondo.tv: Msaidizi wa Mkuu wa Polisi Jamii Mkoa wa Tabora, Mrakibu wa Polisi (SP) Dorick Mipango amewashangaza wananchi kwa kutumia maneno ya Biblia na sauti ya kichungaji alipokuwa akihamasisha amani kwa wakazi wa Kata ya Kalunde iliyopo katika Manispaa ya Tabora. Hatua hiyo ni katika mwendelezo wa ziara ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Twaha Lulengelule ya kuwafikia wananchi kwenye Kata zao kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero za kiusalama zinazo wakabili kupitia kampeni ya Ongea na Kamanda.
Uhondo TV
Region: TZ
Friday 30 October 2026 13:25:32 GMT
Music
Download
Comments
Newton :
God bless you Afande 🫡
2026-10-31 09:20:10
0
DAGNA2023 :
ahsante afande karugembe😅😅
2026-11-01 06:42:12
0
Yohana Aloyce :
safi sana afande,MUNGU akulinde sana
2026-10-30 14:02:52
1
kurengo :
afande hangezewe nyota na mshara
2026-10-31 18:27:48
0
kyabo :
nimekupenda sana kwa ulichokifanya
2026-10-31 18:45:50
0
Eliya Samwel :
Amen Amen 🙏
2026-11-01 04:57:47
0
G clever :
Barikiwa sawa mtumishii
2026-10-31 10:10:00
0
Romo jr :
mungu akulinde afande kwa maneno mazuri
2026-10-31 11:49:00
0
user4265312935694 :
hii ndo yenyewe sasa sio hiyo ya pascal casian
2026-10-30 14:12:36
0
chikomo :
Ubarikiwe sana kwa utumishi wako
2026-10-31 11:41:18
0
Prisca Mnzava :
amina mungu akubariki sana afande
2026-10-31 09:21:05
0
Jr :
Saaafi saana Afande...
2026-10-31 06:31:05
0
Jordan Michael :
maafande wengine wako vizur kam wote wangekuwa hivyo mauaji yasingekuwepo
2026-10-31 13:19:50
0
(ALLAH AKBARU)🙏🙏❤️❤️♥️♥️ :
👏👏 congt
2026-10-31 10:52:45
0
Israelnaftal :
Amen , ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Serikali
2026-10-31 13:41:26
0
mwana wa azali :
daah huyu askari Mungu Mungu amlinde jamani
2026-10-31 07:32:07
0
Edwindeus :
safi sana
2026-10-31 06:30:46
0
(ALLAH AKBARU)🙏🙏❤️❤️♥️♥️ :
🫡🫡🫡
2026-10-31 10:53:55
0
official M'AROUA🌟 :
Nakukubali afande!
2026-10-31 05:15:42
0
Joseph Kisinza :
safi sana afande Mungu akutie nguvu
2026-10-31 03:44:04
0
salbinusy Jr :
Amina afade mchungaji
2026-10-31 05:46:51
1
Gabriel thomas :
Mungu akuinue katika viwango vya juu sana. Uwe Rais wa Tanzania kabisa kwa sababu Mungu tunaemwamini ana uwezo wote.
2026-11-01 08:33:51
0
parambulety :
AMEEEEEE
2026-10-31 05:02:39
0
Prophet gurdian angel :
ni kweli ss bona hawataki tena
2026-10-31 05:47:38
0
Joyce G.O :
Uko vzr afande,Nimeipenda hiyo mbinu
2026-10-30 14:25:39
1
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.