@nyotaraystv: Mbunge wa Jimbo la Buchosa na Mwenyekiti wa Mfuko wa Jimbo hilo, Eric Shigongo, amesema kuwa watanzania wajivunie kuwa na rasilimali ambazo kama zikitumika vizuri nchi itaondoka katika adha ya umasikini kama ambavyo wanaaminishwa na watu wengi kutoka mataifa ya nje#trendingreels❤️ #virałreels #explorers #nyotaraystv

NYOTARAYS TV
NYOTARAYS TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 13:26:58 GMT
6646
252
38
52

Music

Download

Comments

rooneykiwelu167
Rooney Kiwelu :
wambie kamanda
2026-10-30 17:27:20
1
yusuphmarco867
[email protected] :
dha.. kiongozi kazungumza Kwa upole ili aeleweke Lakini sidhani☺️
2026-10-31 10:13:43
2
fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Ki-technology ni nchi ya ngapi!?.Watu msijizime data kiasi kutojua kinachotukwamisha hasa ni nini 🙂🙂
2026-10-31 15:49:45
1
mr.mp26
MP.26 :
Halafu hayo madini yote yanaenda wapi
2026-10-31 08:06:38
3
user1682528819308
DaimaDJ :
Corruption ni kubwa mno. The country ipo kwenye Free Drive Mode..INAUMA SANA.
2026-10-31 07:05:53
3
nickymagarimwanza
NICK magari mwanza :
kaka hakuna maji geita 😳😳😳😳😭😭😭 ziwa lipo kalibu tu na zahabu yakuyosha
2026-10-31 08:41:52
2
jitume.boy
JITUME BOY :
kumbe heche anasema ukweli
2026-10-30 16:04:02
2
mlowe36
Mlowe :
usikilizwe kaka ....we mi naona ungepewa nchi
2026-10-31 09:00:12
0
yusuphzacharia581
Yusuph Zacharia :
inatakiwa dhahabu yetu tuimiliki asilimia 100
2026-10-31 14:15:56
0
user9275301605048
mandela :
shigongo umesema kweli
2026-10-31 08:21:04
2
user9146162355763
user9146162355763 :
sasa tunakuwaje maskini
2026-10-31 20:32:01
0
vaps49
vaps49 :
Henche kila siku anayasema haya, tatizo letu ni uongozi wenye weledi.
2026-10-31 08:23:39
1
user3716381047944
pendo💞 :
hongera san kiongoz
2026-10-31 13:51:38
0
elibariki937
elibariki :
asante Sana mubunge wang
2026-10-31 12:19:38
0
robson22368
Robson :
umeongea vizuri lakini CCM ni changamoto kwenye inchi hii
2026-10-31 16:54:26
0
edwardsnamakonde
Namak :
MLA MLA LEO, MLA JANA KALA NINI.
2026-10-31 09:30:10
0
johnson_tz
Arajick tz :
tatizo CCM
2026-10-31 07:57:39
0
juli64928
juli :
hivi ni nini kinafanya hatusogeiiiiii mambo haya yanaongelewa kila siku TATIZO NI NINIIIIIIIIIIIIII 😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-31 09:42:53
1
.ubaid375
ابو عمران Ubaid :
afazali uongee kaka hivi tunafeli wapi
2026-10-31 10:13:14
0
salvason4
Salva Son :
umesema kweli mjomba tatizo ukioji sana au🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺 ukindelea kusema utachukiwa sana ndo shida hapo🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-10-31 08:36:31
0
mjuni03
mjuni03 :
Kweli utalii siamini kama ni kweli ?
2026-10-31 08:21:28
0
ericksaturmin745
Allasusu :
af bado nchi yenyewe mbovu kupindukia barabara mbovu elimu mbovu yan kila kitu ni kibovu
2026-10-31 09:52:57
0
user6555983493542
Ridhiwani :
Tatizo nchi yetu hatuna viongozi kuna wana siasa
2026-10-31 08:54:36
0
dazbilionea1
dazbilionea :
SHIDA ni UONGOZI NA MIPANGO mibovu NASHANGAA HATA WATUMISHI TZ mishahara midogo shida tupu kujenga kanyumba tu mtumishi hawezi bila mikopo hadi mtumishi anatamani kuacha kazi. Na nini maana ya umasikini? Umasikini ni ukosefu wa uzalendo wa kusimamia utajiri wetu unifaishe kila raia na watumishi wote. Watumishi wengi salary kama viposho tu na bado utasikia mabilion ya fedha yamefisadiwa kwenye madini, utalii, na vyanzo vingine. Kiukweli raia waliowengi hawanufaiki. Hapo bado hujaweka uvuvi maziwani, bahari na bandari.
2026-10-31 17:00:01
0
kayombo.salvatory
Kayombo Salvatory :
pamoja na utajiri tulionao bado viongozi wanawaza tozo, hivyo viongozi wetu wasiwe wavivu wa kufikiri
2026-10-31 09:24:22
0
To see more videos from user @nyotaraystv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About