YESU hawajawah kuubilia mali ila ni kuhusu ufalme tu wa MUNGU. usitupoteze
2026-10-30 14:11:06
70
PAPAAA MSOFUUUU :
Mchungaji kageuza kofia nyuma hii dunia Tutafika tumechoka wallah
2026-10-30 13:53:50
32
Cheng' Master :
kwani hii Ya mpanzi yesu akiwa sirini si aliwafundisha wanafunzi akisema.
mbegu ni Neno la Mungu, Shamba ni moyo wa manadamu unaopokea Neno.
au kunatoleo jipya la biblia wakuu?.
2026-10-30 14:32:37
27
Saja de Victory :
ila maandiko yanabadilishwa badilishwa ili kukidhi mahitaji yao
2026-10-30 14:42:59
14
Nelly :
Biblia inasema mbegu ni neno la Mungu
2026-10-30 15:33:37
9
𝖑𝖚𝖚_𝖙𝖟 🎵🎵 :
SAMAHANI HUYU SI YURE WA GESS AU NAKOSEA
2026-10-30 13:33:59
10
brother code :
Aise huu ni uongo sana huu dah
2026-10-30 14:29:01
3
kiddyenock112 :
We got a lot to learn hizo habari za mpanzi kasome tena maana alielezea vyema that's why always I can say,I left church but not God
2026-10-30 14:32:13
7
Forgive Satrin :
my pastor Tony🔥🔥🔥💃
2026-10-30 14:57:03
2
JSM " Le roi de la theatre" :
Point.
Sasa naanza kukufuatilia rasmi.
2026-10-30 14:17:45
5
Eric Mugele :
Tumia Sana Akili Sikiliza sana, Soma sana lakini hayo Maneno matatu ya mwanzo ni ya muhimu sana.
2026-10-30 14:19:34
7
Ben Muna :
Baada ya Dhambi kuingia duniani, Kutoka Mwanzo hadi Ufunuo ni mpango wa Mungu kumuokoa Mwanadamu. Na Huyo Yesu alisema Ni rahisi ng'amia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme Wa Mungu. it has never been God's plan for us to think and dwell in finding Fedha. Yesu alifundisha kwa mifano na mifano yote ilikua na goal moja taking back his people to his glory.
2026-10-30 14:51:40
6
Dr Gabo DH :
ene wei sikupingi mtumish lakin ukiangalia muktadha wa neno hilo haikuwa na maana hiyo mbegu sio capital ilikuwa ni neno la mungu
2026-10-30 19:40:40
2
wakolinto :
we acha amuchezee mungu aone atakachomfanya yesu anaona ni kaka yake.
2026-10-30 20:01:19
1
kapaya96 :
MUNGU anauvumilivu sana ndoo maana sikuwa mimi😏😏
2026-10-30 16:56:15
0
franco_jv2 :
Sio tena ufalme wa Mungu, sio Uzima wa millele.. ni uchumi???? Aya tuendelee
2026-10-30 16:08:50
0
LUGY :
mzee apo umetupiga hakumaanisha mambo ya fedha alimaanisha neno la MUNGU na mambo ya wokovu ndo akatoa mfano huo wa mbegu kwa maana kuna wale wanalisikia neno lakini hawalitiii ndo kwenye mawe na wengi e sasa kaka unatupiga
2026-10-30 14:09:44
6
M E N D E Z 💎 :
Tafsiri ya Hilo Neno sio hio maana ❌❌❌😎😎😎
2026-10-30 14:58:07
6
Dr michael. :
Sahihi ndio maana maandiko yanasema mali zote na dhahabu ni zake.
2026-10-30 13:42:03
5
Isack Daudi :
mmmmh
2026-10-30 15:00:03
2
Joh classic :
😂😁😂😁
2026-10-30 14:41:48
2
Mwamvita 222 :
kumbe pastor mwanetu kbisa 😁
2026-10-30 15:01:45
3
Yozie :
discussion zikishaanza kuhusianisha fedha nakaa chini,naweka mguu mmoja juu ya mwingine,naweka mikono kifuani,nakunja na ndita kidogo kwa utulivu,naendelea kusikiliza kwa makini
2026-10-30 14:58:23
4
gideonimathew :
Sawa bhana neno la Mungu mnaligeuza mtakavyo. Mwenye kazi anakuja
2026-10-30 16:27:05
3
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm
homepage.