@irikyaeliswai: 🎬🇨🇩 Huyu ndiye BIBI KRUBWA, mwigizaji maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), aliyekumbukwa zaidi kwa nafasi yake ya KABIBI katika filamu maarufu ya La Vie est Belle (1987), akiwa ameigiza pamoja na gwiji wa muziki PAPA WEMBA. Filamu hiyo iliyosimulia safari ya kijana Kourou kutafuta mafanikio kupitia muziki mjini Kinshasa ilimfanya Bibi Krubwa kufahamika zaidi katika ulimwengu wa sinema za Kiafrika. Alikuwa miongoni mwa sura zilizotia alama katika historia ya filamu za Congo. 🇨🇩❤️ OLD IS GOLD! 🎞️ #BibiKrubwa #PapaWemba #LaVieEstBelle #CongoCinema #oldisgold

Swax Franco Makiadi
Swax Franco Makiadi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 13:30:02 GMT
383
26
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @irikyaeliswai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About