@mohamedhafidh_tz: WhatsApp sasa ina sehemu maalumu ya kusimamia subscriptions zako! 👀 Kupitia setting hii, unaweza kuona na kusimamia huduma kama WhatsApp Plus na Meta One sehemu moja. Lakini je, unajua huduma hizi zinafanya kazi gani na zinakupa faida zipi? 🤔 Katika video hii nimekuonyesha sehemu hiyo na namna inavyofanya kazi. 📲 Angalia hadi mwisho ili usipitwe na updates mpya za WhatsApp!
Mohamed Hafidh
Region: TZ
Friday 30 October 2026 13:39:48 GMT
Music
Download
Comments
Mr. Pōsītīvīty :
Kaka vipi blue tick mbona hauji??
2026-10-31 01:57:02
1
dady jaen 🫵🫵 :
endelya
2026-10-30 18:55:06
1
jay classic tz 150👑 :
@jay classic tz 150👑:me wathssapp yangu ina shida ya kufi funga fung kama ivy je ina kuaga shida nn ap kaka plz
2026-10-31 20:28:56
1
Shabil _1 :
unasubili nn kaka endelea mpaka deep
2026-10-30 19:18:13
2
user4557278378377 :
Sawa mwalim
2026-10-30 16:56:47
1
avitus jovin :
saf kana kaka dalasa sur tunataka mwendelezo
2026-10-30 18:37:05
1
chief city :
sasa mbona nalazimishwa kutumia card kwan huwez tumia lain
2026-11-02 20:36:18
0
Odo🥰🥰 :
naomba jnielekeze uweka paswed whatsapp
2026-10-31 06:58:31
2
bells rey :
sorry niko nje nimeanza cyber security lakin sijui language mam ya kujifunza
2026-10-31 15:23:01
1
mwadunje 🇦🇪 🇹🇿 :
baada ya kulipia ukitaka kurudia Whatsapp ya kitambo isiyo na mlipo unafanyaje?
2026-11-02 08:01:07
0
mctaygajeshi8 :
mbona Zina ji Brock San wasthp
2026-10-31 15:17:03
0
Press Dar🥾 :
unasaidia nini
2026-11-02 14:39:51
0
mpez💔 uwongo❤️🔥 m2pu 😭😭 :
kaka mm nipo omni lakini laini yangu ya tanzania Sasa nikitakakupigia family yangu cm whatsapp haikubali huwa inanimate naomba nisaidie nifayeje mm
2026-11-02 07:32:06
0
Habibu Lyambo01 :
kaka mm mbona whatsapp yangu setting ime ondoka hakuna sasa hivi
2026-11-01 21:02:30
0
elize babayako :
miendelezo nahitaji
2026-10-31 06:40:48
0
Mazengo JR 💀 :
mi sm yangu haina fingeprint .natumia samssung A06 .nisaidie kwa hili
2026-10-31 14:49:44
0
ONE DAY YES🙏 :
hiyo card number ndo Nini maana mimi naweka namba ya simu
2026-10-31 13:48:19
0
official🤣isackjr# :
na veep Kam huna card no labda kama mm natumia airtel money inagoma
2026-10-31 20:01:14
0
lil :
comment je peux lier mon WhatsApp avec mon compte de Orange
2026-10-31 07:44:02
0
Abuubakar :
haina bluetick au
2026-10-31 07:56:58
0
saidy_tz :
kak jinsi ya kuweka blue tick
2026-10-31 07:12:17
1
mpez💔 uwongo❤️🔥 m2pu 😭😭 :
huwa inajikata nateseka kwel please 🙏 kama kuna chakufanya nisaidie kwa ajili yamungu [Teary eyed]
2026-11-02 07:35:48
0
kata.kata2567🛜 :
next part 2 bro
2026-10-30 22:36:48
1
shafii pamba kali :
kaka me. whatsapp yangu mtu akituma sms baada ya mda zinajifuta ishu nn
2026-10-30 18:08:25
1
꧁༒𝑺𝑻𝑨𝑹 𝑫𝑼𝑽𝑰𝑳𝑳𝑨𝑮𝑬༻ :
🙏🙏🙏
2026-10-31 19:10:17
1
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.