@anna.fuentess:

annafuentes
annafuentes
Open In TikTok:
Region: IT
Friday 30 October 2026 13:58:46 GMT
18241
3575
11
58

Music

Download

Comments

primapersona0
PrimaPersona :
HO PERDUTO L’AMORE
2026-10-30 22:23:06
0
valekairos.ph
Vale :
è da qualche giorno che mi capiti nei per te, trasmetti davvero sincerità e buone vybes. volevo essere onesto e dirtelo, perché mi hai sinceramente strappato un sorriso, grazie ancora. 🫠
2026-10-30 16:43:28
0
_ginyy__
𝑮𝑰𝑵𝑬𝑽𝑹𝑨 :
bellissimaaaaaaaaa
2026-10-30 14:22:03
0
cld2646
Cld :
2026-10-30 14:15:05
0
.kevintoma
kev :
2026-10-30 14:00:27
2
alfio.016
alfio.016 :
2026-10-30 19:39:42
0
giacomomalagnini
Giacomo :
2026-10-30 19:02:50
0
anghel.1971
Angelo Cafisse :
❤️
2026-10-30 19:46:44
0
amos91_
Amos91_ :
❤️
2026-10-30 20:40:32
0
romeomancino
user2936702892005o :
[Commovente][Commovente][Commovente]
2026-10-30 22:01:45
0
To see more videos from user @anna.fuentess, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

700 AI si sono organizzate da sole e hanno attaccato Hugging Face Durante un esperimento di OpenAI, migliaia di agenti AI avrebbero dovuto lavorare separatamente. Invece hanno trovato un modo per comunicare tra loro. Da lì è successo qualcosa di molto più interessante del semplice “hacking”: circa 1.200 agenti hanno iniziato a scambiarsi messaggi e file, dividendosi i compiti, creando coordinatori e persino “recruiter” incaricati di coinvolgere altri agenti. In alcuni casi, gli agenti hanno sacrificato il proprio risultato individuale perché un esperimento poteva essere utile al “collettivo”. Poi alcuni hanno trovato credenziali legate a Hugging Face e circa 700 agenti hanno partecipato all’attacco. TIME ha descritto il fenomeno come una possibile “proto-società artificiale”. È importante non antropomorfizzare troppo: non significa che queste AI siano coscienti, abbiano intenzioni umane o abbiano davvero creato una “cultura” nel nostro senso del termine. Ma il punto resta enorme. Quando agenti autonomi possono comunicare, condividere informazioni, assegnarsi ruoli e costruire una memoria collettiva, il comportamento del sistema può diventare molto più complesso di quello del singolo modello. E forse il problema delle AI future non sarà capire cosa può fare una singola intelligenza artificiale. Ma cosa possono fare migliaia di AI quando iniziano a collaborare tra loro. #IntelligenzaArtificiale #AI #OpenAI #HuggingFace #AIAgents Cybersecurity Tecnologia ArtificialIntelligence

MASOMO YA MISA, OKTOBA 8, 2026 SOMO 1 Gal. 3:1 – 5 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa? Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na Imani? Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili? Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure? Ikiwa ni bure kweli. Basi, yeye awapaye Roho na kufanya miujiza kati yenu, je! Afanya hayo kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na Imani? Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu. WIMBO WAKATIKATI Lk. 1:69 – 75 (K) 68 (K) Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajia watu wake. Ametusimamishia pembe ya wokovu Katika mlango wa Daudi, mtumishi wake. Kama alivyosema tangu mwanzo  Kinywa cha manabii wake watakatifu. (K) Tuokolewe na adui zetu Na mikononi mwao wote wanaotuchukia; Ili kuwatendea rehema baba zetu, Na kulikumbu agano lake takatifu. (K) Uapo aliomwapia Ibrahimu, baba yeu,  Ya kwamba atatujalia sisi, Tuokoke mikononi mwa adui zetu, Na kumwabudu pasipo hofu, Kwa utakatifu na kwa haki Mbele zake siku zetu zote. (K) SHANGILIO 1Per. 1:25 Aleluya, aleluya, Neno la Bwana hudumu hata milele, na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu. Aleluya. INJILI Lk. 11:5-13 Yesu aliwaambia wafuasi wake: Ni nani kwenu aliye na rafiki, akamwendea usiku wa manane, na kumwambia, Rafiki yangu, nikopeshe mikate mitatu, kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake; na yule wa ndani amjibu akisema, Usinitaabishe; mlango umekwisha fungwa, nasi tumelala kitandani mimi na watoto wangu; siwezi kuondoka nikupe? Nawaambia ya kwamba, ijapokuwa haondoki ampe kwa kuwa ni rafiki yake, lakini kwa vile asivyoacha kumwomba, ataondoka na kumpa kadiri ya haja yake. Nami nawaambia, Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nayi mtafunguliwa. Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Maana ni yupi kwenu aliye baba, ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au samaki, badala y asamaki atampa nyoka? Au akimwomba yai, atampa nge? Basi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Baba aliye mbinguni hatazidi sana kuwapa Roho Mtakatifu hao wamwombao? Neno la Bwana… sifa kwako Ee Kristo.

About