Mark twain aliwahi kusema nothing impossible under training
2026-10-30 14:28:16
14
Janeth Johnson :
Jamani Tutubu,maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia
2026-10-30 19:29:21
4
nikoambayeniko_fabrics :
Elimu muhimu 🔥🔥 tusome
2026-10-30 15:02:12
10
🔬🧫 :
jmn tusali tusali
2026-10-30 16:20:05
13
Director Eddy :
Kabisaaaa
2026-10-30 19:25:27
1
Edward Kazinza :
Elimu haipimwi kwa kupata/kukosa ajira , naona wengi wanalinganisha elimu na ajira kupata pesa ni kitu kingine kbs lkn ukiwa na elimu hata Kama hauna pesa nyingi lkn unaishi bila deni
2026-10-30 18:01:28
0
John Mzimbabwe :
Me elimunsioni kama inanisaidia kwenye maisha yangu na naishi vzur
2026-10-30 17:09:18
4
Lena Iriskate :
very madam inawezekana kuendelea kuwekeza ukiwa college??? co chuo kikuu
2026-10-30 14:41:06
1
FEZY.🚲.🦺.🎶 :
Tusome tusome nini Sasa kama nishafeligi fom4 niache kazi niende chuo auu eleweshi watu vizuri iyo namna ya usomaji Asante.
2026-10-30 14:26:05
1
oscar :
asa sisi wazee unatusaidiaje
2026-10-30 18:14:14
1
ngirifx :
forex trading zaidi ya kuwa na elimu
2026-10-30 19:29:07
0
Makunguni Agrovet. :
Tunapenda sana kusoma ila tatizo sisi watu wengine vichwa vitu ni vigumu sana hata tusome vipi hatuelewi...
2026-10-30 17:17:00
0
J.. Muhozi :
uhakika dada 🔥🔥
2026-10-30 15:24:08
0
KEMA👑💯 :
Hii ni Ukweli na Uhakikaa 👍📌✅
2026-10-30 19:26:53
0
The Prosperous Prophet.🔥🦅🔥 :
Nakubaliana kabisa na wewe madam hii nimeona kuna mapana ya mafanikio tunayoyatamani ambayo kiukweli bila kupata maarifa sahihi ya kutuwezesha kuona,kuvuka ili kufikia yatabaki tu kuwa ndoto na matamanio yanayotuumiza fikra na hisia kwasababu ya kutokujua namna ya kufikia. Kweli Tusome na tutafute maarifa yenye tija "Knowledge can be costfull but the results are endless riches and refreshing to generations but Ignorance is sooo painful it can cause you even to loose something worthwhile because you don't got the capacity to handle it". Oh God,May HE help us to understand the importance of this message you are sharing. Thank you 🙏🏾
2026-10-30 16:07:14
1
Phatrex :
thanks much
2026-10-30 17:36:45
0
Lucy Danielle :
Elimu na exposure!ukiwa na elimu bila exposure it's useless
2026-10-30 18:25:43
0
Edwin :
aah dada tulia basi, maisha hayana formula
2026-10-30 19:46:08
0
nezer@tz :
hakuna asilimia kubwa ya waliofanikiwa ni ambayo hawajasoma ata walio andika vitabu hawajasoma walifikiria Yani wasomi mmefungwa sana na elimu Mbona ao wazungu Mbona wao awajifunzi kiswahili shake before use
2026-10-30 18:22:11
0
Jose Mavocal :
Ndo nakutana na wewe Leo nikawa nawaza mbona kama huyu dada Ana akili San?? nilivo angalia BIO nikapata jibu.. you are right madam 🤝🤝
2026-10-30 17:00:26
0
Miss_ irene nyamuhanga :
🔥🔥🔥
2026-10-30 14:24:52
0
Meet_Suzan03🌸✨️ :
🔥🔥
2026-10-30 18:02:57
0
To see more videos from user @misswandagordon, please go to the Tikwm
homepage.