@mauasama: Mama mzaa Chema umeniona ??? ❤️

Maua Sama
Maua Sama
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 14:04:47 GMT
204988
14796
348
117

Music

Download

Comments

officialkeino
Miss Keino 💃 :
bora ata wewe unafua mwayaa
2026-10-30 14:59:09
105
lovenesa29
lovenesa :
mama sadick mwenyewe tunakupenda
2026-10-30 15:02:43
5
rahelsilomba
miss Rachel :
mtt anaitw nan kwan
2026-10-30 14:12:32
27
faudhiapatrick670
faudhia🎀🎀 :
najua nguo kubwa azitoshi mwanangu akishakua napanga vyombo
2026-10-30 17:41:47
44
mama.prospa7
jeni💕💕 :
mtoto anaitwa nan
2026-10-30 14:17:44
9
ester.vicent95
Ester Vicent :
jaman umekuwa mlembo jaman ad rahaaa
2026-10-30 14:08:48
206
user3716925578305j
Jennifer :
umesema iyo ni kamba
2026-10-30 15:04:54
17
daitwin
daitwin💕 :
shuka unaankaje
2026-10-30 14:40:52
5
penina4811
penina😘 :
machomach0
2026-10-30 17:50:41
0
zainabu93665
Zainabu :
mhhhhh bila vibanio😳
2026-10-30 15:30:11
1
brendakondwan
brenda fassie💗❤️ :
da mzurii 😘❤️
2026-10-30 14:40:10
0
user7941623808202
BibieHenna🌹 :
nguo ukikamua unaikung'uta Kwanza🤌🥰
2026-10-30 19:25:24
2
rosemary.william37
Rosemary William :
mauwa ni mbay jaman
2026-10-30 19:16:05
0
decency_dee.07
>>💦 🦋 DECENCY 🦋 💦<< :
zinanifaa kipindi cha Elnino, nafua zangu naanika ndani,[Tears of joy]
2026-10-30 15:04:15
29
user49615617136611
najez :
sadiki hajambo kipenzi
2026-10-30 15:22:08
4
user8243865614151
rey qeen💞💞💞 :
Ninunulie na mm ntakushukuru mama nan vile
2026-10-30 14:36:46
5
dorcalyen
Dorcalyen :
kwa nguo zangu hainitoshi hiyo special for babys
2026-10-30 15:55:01
11
esneth.stephano
Esneth Stephano :
umepngua umepndez
2026-10-30 14:30:54
9
baby.zyder
Miss🌸 Zyder💜💋 :
huwezi amini kuna mtu hii video ataiyona December 😁
2026-10-30 14:37:48
11
kavira.kombi79
Baby girl ❤️ :
Da mauwa nasikiya babawamtoto ni Alikiba nikweli 🥰🥰😳😳
2026-10-30 16:00:31
4
neyndeli
mashotoney ndeli :
ni kweli kamba nzuri ila mimi napenda sana kubana nguo na vibanio mimi lakini
2026-10-30 17:08:03
1
mariam.stephano36
Mariam Stephano :
nimeona kuna mtu kakwambia wew ni mbaya achana nae dada angu maana huwezi kuwa mzuri kwa kila mtu penda sana
2026-10-30 20:14:20
2
angelaretous156
Angel❤ :
hataa wenye chumba kimoja mamy😂😂😂
2026-10-30 14:32:53
2
sophiasophia7967
Sophia 💝 :
kamenenepa kenyew 💕🥰💕
2026-10-30 19:31:24
2
aroundee0620
Vanta_cherie🖤♓️ :
kawa mrembo baada ya uzazi
2026-10-30 17:10:04
3
To see more videos from user @mauasama, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About