ah tulionewa sisi bibi harusi wa kitambo. ati waambia ufuge ukuti hakuna makeup hadi siku ya harusi. unafanyiwa rubut wafungwa uso kabisa. kitchen party, heena party makeup ulopaka ni mascara na eyeliner jamani
siku ya uposi nayo hakuna cha kupaka heena wala makeup ah
haki hatukufanyiwa sawa 🤣🤣🤣
2026-10-30 14:41:18
100
@ruqayyah's.heenna& makeup art :
maashallah akapendeza sana mumtaz for the bride beautiful wedding dress💃💃💃👌👌❤️🙌
kipindi hicho na wengine walinyolew hadi vipar na ufuta juu na lakini zimeduma kulikonizi za sas ten ilikuwa raha biharusi anapendezq peke yake siku iyo na hakuna hata anae jipamba sana 🥰🥰🥰😂
2026-10-31 17:30:38
0
Mzee Wa Kazi :
masha Allah tabaraka rahman [Gesture OK]
2026-11-01 08:53:04
0
To see more videos from user @tzsweet, please go to the Tikwm
homepage.