@ticha_fungo: Producer Mulilo na Dancer la Dunia Dhulkarnain 🤣 Wakutana Jukwaa Moja🤣 Mnasema nini!?? Asante Sana Ndugu JOFREY KORONGO na EMANUEL KOIN kutoka Kenya Zawadi Zenu Zimefika 🔥 #SupportVipaji #FutureOfTanzania #TichaFungoTalentDeveloper
shule inaitwa Lumumba ipo kidimu kibaha mpiji magoe ya mbezi ukipitia uko pia unafika kunanjia ya kupitia kibamba njia panda ukifik waambie naenda shule ya Lumumba ushafik na pia maili moja stend unawaambia boda naenda Lumumba unafika nimekup njia zote za kufik hiyo shule
2026-10-31 10:51:34
11
tunsutz :
pendo na sauti yake ya mamlaka🙌😂😂
2026-10-30 21:00:57
17
dotto mapinda :
😁😂😅 ila Dhurkanan na Mulilo
2026-10-30 15:50:54
9
Kelvin🇹🇿 :
Hawa watoto nikiwachekea wanajenga kabla yangu
2026-10-31 05:21:36
6
Misi construction co.ltd :
Muliro asijege tu akala ugoro[Tears of joy]
2026-10-31 08:47:31
4
sada khan♥️ :
mnanza kupokea wanafunzi lini nije nijiandikishe na mm niwe nalipwa mshahara kama zulka9😅😅
2026-10-31 11:53:29
6
Abuu Ayman :
ticha fungo kwani komando ameendaga wapi?
2026-10-31 06:18:27
1
*ZurryCherrie💋..🇹🇿💞🇦🇪 🍒 :
Zulkanain atakua Ana nusa mmea wa south Africa 😅😂
2026-11-01 15:02:23
0
Routneit chidical :
huw mwaka nitasoma hesabu za kugawanya🤣🤣🤣🤣👊👊👉
2026-10-30 21:19:52
4
MR UNSTOPPABLE FX :
mwamba kapigwa uji na maandazi na ticha fungo kaamuacheze ngoma balaa😂😂😂
2026-10-31 11:31:11
3
Lorenzo :
king majuto ameludi 😁😁😁
2026-11-01 10:10:26
2
japrizah dee :
tembeza mgao😂
2026-11-01 13:41:03
1
. :
kamba inamnyonga murilo🤣
2026-10-31 20:50:07
1
chilled 🌹🌹 :
uyu dhurkanain uyuu daha atatuua
2026-11-03 14:38:03
1
Baby Latipher :
singeli ya Gen zee ikojee😅
2026-10-30 15:04:31
5
Mi Ni NaNi🦅 :
Familia
2026-10-31 17:04:24
1
mkwizu trust :
King of this group zulkanay [Tears of joy][Pray]
2026-10-31 20:34:35
1
Robert Felis :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daah furaha yangu ipo kwa hawa watoto walah nachuungu sauti ya mchina ndo imenimaliza
2026-11-01 01:43:54
2
MpingiJr :
Mi Estukizi
2026-10-31 04:12:29
2
Da Zuu :
Uwwwiii Dhulkhanaini balaaa
2026-10-30 16:04:29
4
🦋shaddie🎀 :
yo yo ticha fungo kaninunulia maandazi na uji yoyo😂😂
2026-10-30 19:43:13
2
To see more videos from user @ticha_fungo, please go to the Tikwm
homepage.