uyo ni kaka yetu anaitwa mushehe amepatwa na matatizo ya afya ya akili sasaivi ni miaka 18 hivi alikuwa mkazi wa mburahati msimlaumu sana,ila kheri yake anakumbuka ata kwenda msikitini alha amfanyie wepesi inshalha.
2026-10-31 19:34:18
340
Sahaya :
Mashaallah mashaallah mashaallah Kheri yeye ata anakumbuka kumsujudia mora wake wengine wako bar wanafanya maovu Allah pekee ndie anaye juwa Akuna mkamilifu chini ya jua
2026-10-30 23:02:26
333
AL-JABRY :
UMEKOSEA KUMCHUKUA VIDEO,anaonekana amekuja kutubia kw mola wke,kwann usimuite na ukamfunza?sio sawa kaka .
2026-10-30 17:44:03
184
Seif_Toller :
kujua kama sala ipo au haipo na Mungu mwenyewe
2026-10-31 09:36:28
101
sabbieekhanaf :
Ameeeen inshallah
2026-11-01 18:24:38
0
Ishah waj4🥰 :
alicho kibeba ndani yamoyo wake Allah ndie anae kijua zaid Allahu yaalam
2026-10-31 07:53:03
63
Asia :
sio vzr kumtupia mtandaoni uyo wa kuelemishwa na sio kumzalilisha ivo ulivyo fanya Allah apendi ivo akija kujiona mwenyewe c ata chukia ata waislam na uislam kwa jumla acheni masifa sifa ndugu zangu
2026-10-31 04:33:23
20
Mwanaidi Khamis :
huko ni kumdhalilisha km anakosea c umwite umuelekeze!!!!!
2026-10-31 18:48:52
19
Matwar 001 :
Uzur ni kwamba MUNGU analipa kutokana na NIA ya mtu
2026-10-31 06:13:24
30
yahya mapilau :
hakuna swala hapo, full stop.
swala ina nguzo zake na miongozo yake.
2026-10-31 17:30:34
6
Mr Sei :
kam anaeswal zinachaj swal hamna ila kam dish limeyumb swal ipo
2026-10-31 09:48:46
7
ally jaka decoration :
huyu kidog akili zako haziko saw mi namjua1
2026-10-30 18:04:04
6
TASNA TIBETI :
kama uliona haiko sawa swala yake ungemngoja amalize kuswali umuelekeZe ila sjapenda ulichokfanya
2026-10-31 16:01:33
8
user8558259987962 :
Asalam alaykum ndunguzangu kunamakosa mawili hapo yamefanywa nawatu wawili kosa lakwanza kafanya alie rekodi hakupaswa kureko alipaswa kutoa elim kwamtu hiyo huyu anae swali kakosea lakini kosalake mungu atamsamehe kwakujitahidi wapo wanaojua lakini hawaswali
2026-10-31 19:45:14
7
Dulakani furniture :
inabid mumu elekez sikulekod mbon tunakua ivi lakin
2026-10-31 08:03:44
10
Munira :
si bora hata huyo anakumbuka kuwa kuna kuingia msikitini kuna wengine hawaendi
2026-10-31 12:10:09
6
kunajoto.001 :
msaidie labda hajui maskini
2026-10-31 07:32:49
10
mke wa sele♥️ :
swala uswaliwa na mtu mwenye akili timamu na inahitaji utulivu ndivyo tulivyoambiwa huyo pia aelekezwe kitaratibu maana swala inasheria zake
2026-10-31 03:57:29
9
Mumy Kareem&Raheem :
kwa nn umrekodi unaenda msikitin kurecord watu na kuwadhalilisha mtandaoni yeye kaswali kadri anavyo elewa na swala yake inapokelewa na Allah na sio mwanadamu
2026-10-31 03:07:14
6
ابو يوسف :
ungemfuata na kumuelekeza baada ya kuswali na sio kumurusha mitandaoni hilo lingekuwa zuri zaidi kuliko kumchukuwa video na kutuuliza sisi allahuaalam
2026-10-31 13:41:37
3
Mtu chake :
waliocheka kama mm tujuwane😁
2026-10-31 11:07:12
4
YA MKE WANGU OG. :
kaka kumlusha mtandaoni sio vema vema kidini unagemwita na kumuelekeza kaka unajua sisi wengi tunaswar 2 lakini hatujui tunapo kosea wapi sheh anania sabiti ya swar sema mungu yupo pamoja nae swar yake naimani hitakua sawa kwa maana hajui na dini yetu hinasemaje hasiye jua Kwa dhat hanakosa Hila akijua ndio kakosa🤲
2026-11-01 19:58:07
3
motorcycle :
pole sana unamrekodi mtu anaswali haliyakuwa unajua ajui angekuwa anajua asingefanya ivo ujui kama kumtupia mtandaon ni kumzalilisha na dini yetu imekataza kumzalilisha mtu ungeifuta ningekushukuru sana mashallah Allah kampa chembechembe za imani mpka anakumbuka kuingia msikitin na kusuli ni jambo jema mashallh mungu amjalie mwisho mwema
2026-10-31 03:59:39
3
Maimuna Bakari :
najifunza hatajuwa polepole
2026-10-31 20:45:31
1
Sally sonny :
don't judge him sema MashaaAllah huenda ni wa kusilimu
2026-10-31 19:50:01
1
To see more videos from user @dalalimbagalachamaz, please go to the Tikwm
homepage.