kwahio mzazi Yuko hai hapo ALIPO usingizi anaupata hajui mtoto Yuko wapi
2026-10-30 18:17:49
514
hatuwezi fanana :
tulio angalia 1/11/2026 tujuane
2026-10-31 21:03:56
8
Mr. Zady💫 :
Dogo amuiti baba anamuita mzazi wa kiume
2026-10-30 19:41:50
339
Official Jamillah😘 :
Mnapiga hadi watoto wanatoloka nyumbani jamani
2026-10-31 12:45:47
155
waddie🌹 :
wazazii msiudhi watoto mweeeh
2026-10-30 18:52:35
149
__p£ndo26 :
Watu wakiambiwa wazae wakiwa financialy and emotionally stable mnakataa ayaa
2026-10-31 15:19:27
30
Zumba_greda_tv1 :
NA MIMI KUANZI LEO BABA YANGU NITAMUITA MZAZI WA KIUME
2026-10-31 12:24:49
74
Swan lee :
mwlili wangu ulikuwa autazamiki bro
2026-10-30 18:21:03
64
SHORTII_PHONES :
Aishi na familia yake mi sio mtoto wake saivi 🙌🏾
2026-10-30 20:17:59
51
Edina Zawadi :
hata mim namchukia san baba maan ndo alie nifanya nivunjike kifua alikuwa akinipiga zaid ya mnyam hata mim ningekuwa kama hao sema tulikuwa mbali na mjini nilikuwa natoloka nalala machakan zaid ya miez miwili nakula matunda ila mungu ni mkubwa jaman had sas ninapumzi namshukul sana mungu wangu
2026-10-31 19:08:22
10
king of dls Tz🏆🐐🐐 :
uyo si mtoto wangu uyo🥹🥹🥹 ludi nyumbani mwanangu
2026-10-30 19:33:21
67
@kasamila :
ata mm nataka niondoke tu nyumbani maana wananiuzii 😂
2026-10-31 15:06:12
16
dhiller :
namie hapa nawaza kuondoka nyumbani...kila mtu ananiuliza kuhusu ndoa...mniungishe kwa hao watoto jmn
2026-10-31 12:13:56
19
miss dion :
mimi siwalaumu sana wazazi jaman kuna watoto wanapinda vibaya nilikuwa nasoma na rafiki yangu tunasoma bording ila tukiww shule tabia zake unashangaa akirud nyumban wananisema kwanin mwenzio hatulii na ww uko naye huko siku moja akalala nje kabisa kwa kijana mmoja kinyozi aisee walipiga wakampeleka polis alivyotoka akasema shule sitaki kwenda halafu alikuwa anapendwa ila alibadilika tu
2026-10-31 15:48:00
6
mrs ndeba :
uyo alio vaa tistet nyeus
mchumba angu nisha muwah
2026-10-30 20:05:54
28
Musa Idowa :
pole dogo
2026-10-30 20:51:41
0
_.__zankah :
Daaah💔🙏🏽😪 this lyfe
2026-10-31 15:32:53
0
cuty mami :
nimempenda huyo anae muita babake mzazi wa kiume[Tears of joy]
tujifunze jmn
2026-10-31 15:45:19
9
cizerhome_appliances :
Ukifanya interview na mesha nishtue 😂😂
2026-10-30 20:42:08
9
Editha Salon :
bibi alikuwa ajisikii kula ndio maana nikaondoka😭😭😭
2026-10-30 20:14:42
11
Dorry🦋 :
daaa jmn mtaani Kun watt wanapitia meng sana
2026-10-30 18:27:12
16
½ kaputi :
mzazi wa kiume😢
2026-10-30 19:47:40
5
Mke wa dereva :
me nlikua kwenye hiyo Dala dala😂😂
2026-10-30 18:12:45
11
anna fin whispers :
ayo makovu ya moyo waliyonayo🥺
2026-10-30 18:34:09
7
mussa :
mwenyezi mungu wa kwetu sote 😳
2026-10-30 18:40:08
6
To see more videos from user @mhandisi_nyingi, please go to the Tikwm
homepage.