@alexmutwiri18: #creatorsearchinsights #foolinlove Ulaghai wa Wakenya Marekani Wakenya wawili ni miongoni mwa watano walioshtakiwa Wan atuhumiwa kwa wizi wa utambulisho Wamelaghai kwa kusajili wanafunzi hewa Marekani Wametumia utapeli kupata shilingi bilioni 16 #NipasheWikendi