@putawatown: Hiyo Leo Hiyooooooo Mhe. MBUNGE @anthonymavunde Amemuokozesha Kijana Mmoja Muuza Korosho Kitita Cha 500k Aongeze Mtaji#Putawarown

PutaWaTown
PutaWaTown
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 October 2026 16:16:29 GMT
29568
1549
81
20

Music

Download

Comments

nasri.mustafa3
Nasri Mustafa :
Mavunde kaka una moyo sana
2026-10-30 18:17:03
16
donatha092
SHOP WITH SHARON Dodoma 💕 ✨️ :
huyu mabunde awe president
2026-10-30 20:48:19
0
kikoti08
yohani kikoti :
ukichunguza kiundani uyo sio mfanyabiashara ya korosho
2026-10-30 18:53:46
3
rahel.masiga
Rahel Masiga :
jamani mh anapatikanaje ? nina jambo langu
2026-10-30 19:29:08
3
offical.mayere
##OFFICAL" MAYERE## :
million mbili Hera yakula sasa Hera yamtaji beigani 😂😂😂😂
2026-10-30 20:43:34
0
user5791866165400
nichorous zacharia :
kaka hiyo laki 5 mpe yanga ashinde goli 6 bila ana poit 8,,uchukue milion 4 mapema,,😂😂😂😂
2026-10-30 21:44:51
1
selanyik
SELANYIKA :
Uyo auzi ten
2026-10-30 21:16:01
0
happie192
happie :
hana baya uyu mhe
2026-10-30 19:22:07
1
mosesanthonymapet
mo :
hii Nchi wanafaidi wachache sana 😓😓
2026-10-30 20:50:27
0
maggiedeone
maggiedeone :
Mavunde alikua.. Mgeni Rasmii mahafarii 2019..MPUNGUZI Sec..,🥰
2026-10-30 20:32:19
1
pambaika_complex
Pambaika_Complex :
Dogo anapambana sana mtaan kila siku anapita shop Mungu amuongoze🙏kuna siku aliniomba nimpunguzie pensi anaenda kuona ndugu zake mtwara✊
2026-10-30 21:43:34
0
user1411675618226
user1411675618226 :
ALLAH AMZIDISHIE MUHESHIMIWA MAVUNDE PALE ALIPOPUNGUZA 🤲
2026-10-30 21:21:53
0
bigbrza
bigbrza :
mungu akulinde mavunde unaupendo na Huruma.
2026-10-30 21:19:32
0
agnes.mpiluka0
A.g. :
Jaman Mh tukutane Nae na Sisi tupewe Mtaji mweee hongera Mwaya
2026-10-30 21:57:34
0
photnatus.mtakamba
WaKaGeRa :
saf sana mkuu tabasam la kiongozi mwenye utu
2026-10-30 19:16:24
1
user1481095052719
Merry sonia :
Mungu akubarki siowote wenye moyo wakutoa
2026-10-30 19:24:56
0
lucia.benedict2
Lucia Benedict :
kumbe ningenda ningepata hata hela ya kodi
2026-10-30 19:27:40
0
chiseo7
Nyemolishaz Chiseo :
mavunde kawaida yake sana 🥰mungu amlinde sana ,akiahid hutimiza ndo maaana anabarikiwa
2026-10-30 20:44:31
0
francisanthon872
Francis Anthon changare :
mweshimiwa hongera sana mwenyezi mungu akutangulie ufike mbali sana kwa moyo wako
2026-10-30 20:05:44
0
happyjoseph30
happyjoseph30 :
Huyu nimemupenda hata milion
2026-10-30 19:42:28
0
meja.kibinda2
Meja Kibinda :
Mungu azidi kumbariki sana Mheshimiwa Antony Mavunde
2026-10-30 19:17:04
1
misago001
Misago@001 :
Hongera sana Mhe. Mavunde kuwagusa vijana mengi umeyafanya kwa jamii yenye uwitaji
2026-10-30 19:34:06
0
lacaarsenal5
Bei Kawaida ✅ :
Umeniwakilisha Vizuri sana😊
2026-10-30 18:57:01
3
kabaisa786
kabaisa786 :
Mavunde poa sana
2026-10-30 20:12:47
1
user3925510547194
user3925510547194 :
Mh mimi nahitaji unisapoti mtoto kwenda chuo.na changamoto za maisha
2026-10-30 20:59:23
1
To see more videos from user @putawatown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About